TANZIA Mashaka Matongo a.k.a. Abiola afariki dunia

Apumzike kwa amani..namkumbuka sana wakati huo mtaa wa Aggrey alipokuja kuwa na bifu kubwa na mshindani wake kwenye biashara ya nagazeti ya udaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani kwa aliyeleta picha yake humu, nimefanikiwa kumkumbuka.

Mbele yetu, nyuma yake 😭😭

Pumzika kwa amani Mzee Mashaka 🙏🙏
 
Shukrani kwa aliyeleta picha yake humu, nimefanikiwa kumkumbuka.

Mbele yetu, nyuma yake [emoji24][emoji24]

Pumzika kwa amani Mzee Mashaka [emoji120][emoji120]
...hivi kupumzika Kwa amani ndo kufanyaje?wapo ambao hawapumziki kwa amani?...wanapumzikaje?


Mungu akawe mfariji wao mkuu wote waliofiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…