MASHUKE ORIGINAL
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 223
- 429
Acha ujinga mkuu wangapi wanakufa na wana viono inchi 24, kifo ni fumbo . We mshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai ulionao, na huo uhai sio kwa ujanja wako mkuu ni Mungu mwenyewe kaamua kukuachia ila akiamua hata mchana hautoboi.Sawa mimi Kenge , mbuzi lakini nyie kondoo na vitambi vyenu msipofuata ushauri wa wataalam mtapukutika halafu mtasingizia kurogwa kwavile hamna akili!