TANZIA Mashaka Matongo a.k.a. Abiola afariki dunia

Sawa mimi Kenge , mbuzi lakini nyie kondoo na vitambi vyenu msipofuata ushauri wa wataalam mtapukutika halafu mtasingizia kurogwa kwavile hamna akili!
Acha ujinga mkuu wangapi wanakufa na wana viono inchi 24, kifo ni fumbo . We mshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai ulionao, na huo uhai sio kwa ujanja wako mkuu ni Mungu mwenyewe kaamua kukuachia ila akiamua hata mchana hautoboi.
 
Sawa mimi Kenge , mbuzi lakini nyie kondoo na vitambi vyenu msipofuata ushauri wa wataalam mtapukutika halafu mtasingizia kurogwa kwavile hamna akili!
Huu ni uzi wa Tanzia,binadamu mwenzetu ametangulia mbele ya haki, ukitaka fungua uzi wako wa vitambi, na huyo mtaalamu uliyemtaja naye ana wingu Zito la tuhuma juu ya kichwa chake, ila muda utakuja kusema ukweli, elewa dead people wanaongea kutoka makaburini, ipo siku moja ,marehemu huyu ataongea, RIP aka Abiola
 
Mimi sio niliosema hizo inchi 40, matusi yako hayabadili ukwell wa wataalam ; puuzia ushauri wao hapo ndio utatambua nani ni idiot kati yangu na wewe bwege mwenye kitambi kama una mimba!

Sidhani Kama ni sahihi kumlaumu mtu kuhusu umbile lake.
 
Sawa mimi Kenge , mbuzi lakini nyie kondoo na vitambi vyenu msipofuata ushauri wa wataalam mtapukutika halafu mtasingizia kurogwa kwavile hamna akili!
ila tuseme tu hawa ndugu zetu wenye vitambi wasipofuata ushauri wa wataalam watapukutika sana. Kutoboa miaka sitini na kuendelea ni bahati kubwa sana ukiwa na kitambi, sijawahi kuona mzee wa miaka sabini mpaka themanini ana kitambi
 
Professor Janabi alisema kuwa wanaume Kiuno kisizidi inchi 40, ukiwa na zaidi ya hapo ni shida!!!
Umeambiwa amekua anaumwa muda Mrefu sasa hujaelewa nini?? Sio Kiuno mana Kiuno kiliisha akawa anavaa size 12
 
Umeambiwa amekua anaumwa muda Mrefu sasa hujaelewa nini?? Sio Kiuno mana Kiuno kiliisha akawa anavaa size 12
Kiuno akawa anavaa size 12 ni baada ya kuvaa zaidi ya size 40; kwa maana nyingine ni maradhi ndio yamesababisha avae size 12! Ilitakiwa size hiyo ipungue kwa nidhamu ya lishe na mazoezi na sio maradhi!!
 
Mashaka jamani [emoji24]

Apumzike kwa amani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…