Mashaka: Nahisi Mpenzi wangu kajiunga JF

Mashaka: Nahisi Mpenzi wangu kajiunga JF

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,176
Reaction score
10,068
Kuna post ambazo sizielewi elewi humu ndani ya MMU, na style ya Uandishi wake, Hakika zina Match exactly na Shemeji/wifi yenu.
Kuna post nyingine anaomba ushaur ambazo zinagusa Mambo yetu though ana modify kiaina, na ushauri Mnaompa humu MMU,naona kama Uhisiano wangu Na yeye unakuwa Compromissed...
Huyu ni Y katika KISA changu cha X na Y
Nifanyeje ku prove kama ndio yeye Jaman kama hisia zangu hazinidanganyi
 
itakua ni ile thread y kuombwa kurukwa ukuta.
 
Mi sijui unawasiwasi wa nini!Kama uhusiano wenu una matatizo kwanini usitumie michango kama chachu ya kuuboresha uhusiano wenu badala ya wasiwasi uliyonao,kwanza huyo mkeo anafaa kwa sababu anatafuta solution na sio kuuvuruga!
 
kwani what is the problem with that kaka?anatafuta solution na sio kuharibu mahusiano think
 
Mi sijui unawasiwasi wa nini!Kama uhusiano wenu una matatizo kwanini usitumie michango kama chachu ya kuuboresha uhusiano wenu badala ya wasiwasi uliyonao,kwanza huyo mkeo anafaa kwa sababu anatafuta solution na sio kuuvuruga!
Nilichotaka kusema umeshakisema!
 
Kuna post ambazo sizielewi elewi humu ndani ya MMU, na style ya Uandishi wake, Hakika zina Match exactly na Shemeji/wifi yenu.
Kuna post nyingine anaomba ushaur ambazo zinagusa Mambo yetu though ana modify kiaina, na ushauri Mnaompa humu MMU,naona kama Uhisiano wangu Na yeye unakuwa Compromissed...
Huyu ni Y katika KISA changu cha X na Y
Nifanyeje ku prove kama ndio yeye Jaman kama hisia zangu hazinidanganyi

mkuu na yeye ana haki zote kama wewe...kwani unatumia jina lako halisi? ukitaka kuchokonoa jina lake, BAN ipo nje nje wenyewe sijui wanaita name calling hata ile kudhania tu...dah
 
tatizo maisha ya jf na nyumbani tofauti kama hamna baya lolote potezea utabaki presha ju mwenzio akila raha za jf.
 
Kuna post ambazo sizielewi elewi humu ndani ya MMU, na style ya Uandishi wake, Hakika zina Match exactly na Shemeji/wifi yenu.Kuna post nyingine anaomba ushaur ambazo zinagusa Mambo yetu though ana modify kiaina, na ushauri Mnaompa humu MMU,naona kama Uhisiano wangu Na yeye unakuwa Compromissed...Huyu ni Y katika KISA changu cha X na YNifanyeje ku prove kama ndio yeye Jaman kama hisia zangu hazinidanganyi
unaonaje ktk thread zinazokuhusu ungezitolea mawazo yako kama ukweli ulivyo au taja hizo threads.
 
Chukua hiyo kama changamoto na uifanyie kazi. Yaani mpaka mwenzio kaamua kuja kuomba ushauri jf, ndo uone aibu sasa. Chukua huo ushauri na uufanyie kazi na hiyo itakuwa rahisi sana so long as ameshakusaidia kujua chanzo cha tatizo. Mi nadhani hilo ndo la muhimu zaidi.
 
Back
Top Bottom