Mashaka: Nahisi Mpenzi wangu kajiunga JF

Mashaka: Nahisi Mpenzi wangu kajiunga JF

umenifurahisha sana bramo.nyie ni mahodari kuwapost wanawake leo kimegeuka.hata hii uliyopost kashaiona sasa yeye atakuja na q na t,lol.Huna haja yakupanik,na wewe changia post yake tena mweleze unayotaka
 
hahaha Bramo hafu ni juu ya nini?
Wangu yupo lakini napost kama kawaida
 
hahaha Bramo hafu ni juu ya nini?
Wangu yupo lakini napost kama kawaida
Nta ku PM nikupe full Mkasa,
cha ajabu Mpaka sasa hajachangia kabisa Thread yangu na yupo Silence, Amefiwa na Ndugu yake wa Karibu,hii inazid kunipa Proof kuwa ni yeye.
Maana jana kanambia anashindwa kabisa ku Access internet due to that
 
umenifurahisha sana bramo.nyie ni mahodari kuwapost wanawake leo kimegeuka.hata hii uliyopost kashaiona sasa yeye atakuja na q na t,lol.Huna haja yakupanik,na wewe changia post yake tena mweleze unayotaka
We nione akina Speaker wanamshauri vibaya halafu nichune tu eeh
 
Back
Top Bottom