Mashali amtwangia Cheka nyumbani kwao moro!

Mashali amtwangia Cheka nyumbani kwao moro!

Hilo pambano mi niliudhuria lakini huu ushindi wa Mashali wengi hatukuukubari, japo Mashali alionekana kuwa makini sana tofauti na pambano lililopita.
 
Yaani jela sijui pana gundu gani ukitoka huko mambo yanaenda mrama.
 
Ushindi wa point huwa si Ushindi wa uhakika labda Hizo point ziwe za tofauti kubwa na zihesabiwe kisayansi Kama kule U.S.A lakini point za huku Tanzania nyingi huwa za kubahatisha tu , Ushindi bora ni wa KO unamaliza biashara Kama Tyson wa zamani .

Waliotunga huo mchezo waliona waweke hivyo, kwamba mtu unaweza kushinda kwa pointi na ko. Yote kwa yote ameshinda. Tujifunze kuapreciate bwana, sio mapambano yote Cheka anashinda kwa ko. Hongera Mashali
 
Tatizo la Cheka mapumziko hazingatii,si juzi tu alipigana na Mrusi akapigwa tena kwa point nadhani ilikuwa wiki iliyopita,sasa alipumzika saa ngapi mazoezi akafanya saa ngapi then akapigana tena..tatizo njaa hizi zinamtoa kwenye mstari.
 
Kama matokeo ya uchaguzi yamechakachuliwa simuamini mtu yoyote tena nchi hii. Wazipige kavukavu mpaka apatikane mshindi waache uzushi ngumi hazina droo
 
Back
Top Bottom