Ufalme Wa cheka wakaribia mwisho
Ushindi wa point huwa si Ushindi wa uhakika labda Hizo point ziwe za tofauti kubwa na zihesabiwe kisayansi Kama kule U.S.A lakini point za huku Tanzania nyingi huwa za kubahatisha tu , Ushindi bora ni wa KO unamaliza biashara Kama Tyson wa zamani .
Ushindi wa mizengwe, kwa mtazamo wangu Cheka aliongoza raundi zote