Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Tukio la Zuchu na Gigy Money kuonekana pamoja kwenye usiku wa hina limezua gumzo kubwa kwenye ulimwengu wa burudani na kuacha wengi wakiwa na mshangao.
Kauli ya Mashalove kuwa wawili hao wasingeweza kamwe kukaa meza moja imegonga mwamba, kwani picha na video zinazowaonyesha wakiwa na furaha na kushirikiana kwa karibu zimeenea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.
Sherehe hiyo ya usiku wa hina imekuwa jukwaa la kuwakutanisha na kuweka kando tofauti zao za nyuma, huku ikiwa ushahidi mwingine kwamba kwenye kiwanda cha burudani hakuna uadui wa kudumu.