Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Mashalove a.k.a The don dada Anafunguka.
Msani ambae pia ni muigizaji wa kitanzania anae fahamika kwa jina la masha love Anafunguka Mengi kuhusu Maisha binafsi, Mahusiano na mengine mengi.
Masha amesema ni mtoto wa mwisho Kati ya Watoto 13 kwa Mama yake lakini kwa bahati mbaya Kati ya Watoto Wote hao ni watot 3 tu ndio walio baki hai. Lakini Pia Mama yake Mzazi alifariki mwaka 2012.
Kuhusu Mzazi wake wa kiume hajawahi kumuona wala hatarajii kumuona licha ya kuwa anamawasiliano nae, sababu ya kutotaka kuonana nae ni Kulingana na maagizo ya Mama yake kuwa asingependa kumuona Baba yake sababu Baba yake masha alimupa mimba na alimutaka aitoe hivyo Mama masha alikataa kuitoa
Mama Mzazi wa Masha alikuwa mzaramo halisi na Baba yake ni mpemba.
Kuhusu Elimu Awali Masha amesema yeye binafsi alimaliza shule pasipo kujua kusoma kwa Sababu hazikuwemo na pia yeye aliamza memukwa
"Nilimaliza shule bila kujua kusoma sababu hazikuwemo"
Pia masha Anafunguka juu ya kukutana na kumbuka
Mashalove amesema hapendi Jinsi wanavyo muona yeye ni mzinguaji wakati si Kweli.
===
"BASATA Walinifanya niwe Msanii kwa Sababu waliniita nilikuwa nje ya maadili ya kusanaa na kitanzania kisa likuwa natingiza matiti na kuonyesha video za wanawake wakicheza huku nikiwamwagia Maji, kiufupi serikali ndio imenifunda na kunipelekea kuwa msanii"