Lomaa lolusa
Member
- May 15, 2017
- 30
- 45
Wana jamii forum Kuna watu wanauza mashamba morogoro eneo linaitwa bwanani karibu na bar inaitwa MV mapenzi.. Ukifika mkundi mwisho unaelekea mashariki. Je maeneo hayo ni salama kwa kununua. Au mwenye mawasiliano na mwenyeji wa maeneo hayo naomba anisaidie kunijulisha