- Thread starter
- #21
Sipo huko tena,ila mazao yote yanalimwa huko. Nguvu zako na bidii,maeneo yapo tu mengi,kama umejipangaTofauti na mpunga wanalima mazao ganiengine huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo huko tena,ila mazao yote yanalimwa huko. Nguvu zako na bidii,maeneo yapo tu mengi,kama umejipangaTofauti na mpunga wanalima mazao ganiengine huko?
Kwa nini hukurudi?Sipo huko tena,ila mazao yote yanalimwa huko. Nguvu zako na bidii,maeneo yapo tu mengi,kama umejipanga
Hahahahaha siyo sababu hiyo bro. Nipo nchi nyingine kwa sasa. Pia kutokupata na kwenyewe kupo,maana kilimo cha kule kama unahitaji utoke,jipange na hasa mda wako uwepo. Ukiwaachia watu, hupati kituKwa nini hukurudi?
Hukufanikiwa?
Najipanga next year nije kulima huko, nitakucheki hapa for further consultation Mkuu.Hahahahaha siyo sababu hiyo bro. Nipo nchi nyingine kwa sasa. Pia kutokupata nabkwenyewe kupo,maana kilimo cha kule kama unahitaji utoke,jipange na hasa mda wako uwepo. Ukiwaachia watu, hupati kitu
Wala usisite kuniuliza,lolote nalolijua ntakujuza. Japo kwa ushauli zaidi,pia ungepanga ziara tu kwa ajili ya taarifa na maarifa,maana siyo mpaka tu Ruvu,kikubwa ujue aina ya udongo na mazao yanayoweza kuendana na ardhi hiyo. Halafu,ujue na uelewe kwamba kama ni kilimo cha biashara,unahitaji nini. Huwezi kwenda na milioni moja tu,ukavuna moja na laki mbili,af useme umepata faida. Hivyo,tembelea wakulima wenyewe,maeneo mbali mbali,linganisha na mawazo yako,uwezo na malengo,ndo ujue lipi la kufanyaNajipanga next year nije kulima huko, nitakucheki hapa for further consultation Mkuu.