busarakumkichwa
Member
- Jul 20, 2024
- 46
- 49
Chamwino vijijini heka 8 kwa 50m,acha kuwa mtu wa tamaa!Habari
Kuelekea msimu wa kilimo pata shamba, nina shamba heka 8 chamwino vijijin kwenye hilo shamba kuna kisima cha maji hivyo ni zuri kwa kilimo cha umwagiliaji.
Shamba linauzwa milllion hamsini.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0694662625
Wauzie wana CCM wenzakoHabari
Kuelekea msimu wa kilimo pata shamba, nina shamba heka 8 chamwino vijijin kwenye hilo shamba kuna kisima cha maji hivyo ni zuri kwa kilimo cha umwagiliaji.
Shamba linauzwa milllion hamsini.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0694662625
π π π Toa sifuri , million 5 ,shamba sio kiwanjaHabari
Kuelekea msimu wa kilimo pata shamba, nina shamba heka 8 chamwino vijijin kwenye hilo shamba kuna kisima cha maji hivyo ni zuri kwa kilimo cha umwagiliaji.
Shamba linauzwa milllion hamsini.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0694662625
unajua bei ya kuchimba kisima chenye pampu vyote vinauzwa kwa pamojaπ π π Toa sifuri , million 5 ,shamba sio kiwanja
unajuabei kali, matajiri wa betting wanakuja.