mashamba

mashamba

Joined
Jul 20, 2024
Posts
46
Reaction score
49
Habari

Kuelekea msimu wa kilimo pata shamba, nina shamba heka 8 chamwino vijijin kwenye hilo shamba kuna kisima cha maji hivyo ni zuri kwa kilimo cha umwagiliaji.

Shamba linauzwa milllion hamsini.

Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0694662625
 
Chamwino vijijini heka 8 kwa 50m,acha kuwa mtu wa tamaa!
 
Habari

Kuelekea msimu wa kilimo pata shamba, nina shamba heka 8 chamwino vijijin kwenye hilo shamba kuna kisima cha maji hivyo ni zuri kwa kilimo cha umwagiliaji.

Shamba linauzwa milllion hamsini.

Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0694662625
Wauzie wana CCM wenzako
 
Back
Top Bottom