Mashambulio ya Kigaidi ya 7 Agosti 1998 Katika Afrika ya Mashariki

Mashambulio ya Kigaidi ya 7 Agosti 1998 Katika Afrika ya Mashariki

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
23,782
Reaction score
54,213
Leo, Agosti 7, 2022 ni miaka 24 tangu balozi za Marekani Dar es Salaam na Nairobi ziliposhambuliwa na magaidi. Mastermind wengi wa matukio haya wameshapotezwa including Osama bin Laden (2011) na Ayman al-Zawahir (Julai 31, 2022). Tuwaswalie ndugu zetu waliopotezwa roho zao kwenye matukio haya ya kishenzi bila hatia yoyote.
 
Lakini ndugu/watoto na wake zao wanakula mema ya nchi asee. Watu wa zamani walikuwa na misemo yenye maana sana, "kufa kufaana".
 
Back
Top Bottom