Mashambulizi ya bunduki ulimwenguni mwezi Julai

Mashambulizi ya bunduki ulimwenguni mwezi Julai

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
“Nchini Japani kuuawa kwa mwanasiasa maarufu [Shinzo Abe aliyekuwa Waziri Mkuu hapo awali] kulileta mshtuko ndani ya nchi hiyo na ulimwenguni pote, hasa kwa sababu nchi hiyo ina kiwango kidogo tu cha uhalifu na pia ina sheria kali zinazodhibiti matumizi ya bunduki.”—Julai 10, 2022.

“Kuna mshtuko mkubwa nchini Denmark baada ya mwanamume mwenye bunduki kuwaua watu watatu waliokuwa wakifanya ununuzi kwenye duka moja jijini Copenhagen.”—Julai 4, 2022.

“Afrika Kusini: Watu 15 waliuawa baada ya wanaume wenye bunduki kushambulia baa moja katika mji wa Soweto.”—Julai 10, 2022.

“Zaidi ya watu 220 waliuawa katika mashambulizi ya bunduki yaliyofanyika Marekani katika mwisho juma wa sherehe za Julai 4.”
 
Back
Top Bottom