Mashariki iko umbali gani kutoka magharibi?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
Habarini wadau,

Kuna hilo swali hapo juu naomba wadau kwa uelewa wenu mnisaidie kujibu. Kifupi ni kuwa "utatembea umbali gani kutoka mashariki mpaka magharibi mwa dunia?
 
Hivi Muda wa kupost brash mnaupataje!?
 
Hebu tuambie kwanza. Magharibi mwa dunia panaanzia wapi na vile vile Mashariki panaishia wapi?

swali lako ndio msingi wa kujibu swali langu! nikikujibu ni sawa na kuwa nimejibu swali langu mwenyewe! tumia uelewa wako wa hesabu na geography
 
dunia ni duara, hivyo mash na magh ni ziro distance kutoka kwa mwangaliaji alipo
 
JAYJAY kama tunakubaliana kwamba dunia ni duara basi tumia ufahamu wako kuhusu kipenyo au nusu kipenyo,
 
Last edited by a moderator:
Umbali unaanzia Greenwich/ longitudinal zero - ukielekea kulia ni East na kushoto ni West mpaka utakapo fika nyuzi 180. Kama ilivyo zero ambayo haina E wala W vivyo hivyo 180. Kwa kifupi umbali wa East mpaka West ni nyuzi 180, then convert these degrees into km. Or divide the lateral circumference of the Earth by two.
 
dunia ni duara, hivyo mash na magh ni ziro distance kutoka kwa mwangaliaji alipo
Hapana. Jibu ni 0 kuelekea E or W mpaka ufike nyuzi 180 ambayo nayo kuelekea E au W. Ukigawa lateral circumference of the Earth kwa mbili uanapata umbali.
 
Siwezi kujua ni kilometa ngapi, lakini ukitoka mashariki asubuhi , unafika magharibi jioni.

Halafu unasema ulisoma Geography kweli. Halafu mkiambiwa hamna sifa ya kuajiliwa mnakataa. Hivi ili ndio jibu la kumpa mwanao kweli.
 
Mbona ni rahisi sana kujua, yaani kama vile jinsi CCM walivyokuwa mbali na wananchi kwa kuwadanganya na kuwaibia basi ndio hivyo hivyo jinsi mashariki ilivyo mbali na magharibi
 
Habarini wadau,

Kuna hilo swali hapo juu naomba wadau kwa uelewa wenu mnisaidie kujibu. Kifupi ni kuwa "utatembea umbali gani kutoka mashariki mpaka magharibi mwa dunia?
Inategemea upo umbali gani kutoka kwenye mipaka yake, hivyo jibu ni kati ya 0.00001km na 10,000km
 
Google amesemaje.........?......mara nyingi huwa namsahihisha huyo jamaa........
 
inapoishia magharibi ndio inapoanzia mashariki
 
Gongaga LIKE yane ng'wanangosha.
 
Hapana. Jibu ni 0 kuelekea E or W mpaka ufike nyuzi 180 ambayo nayo kuelekea E au W. Ukigawa lateral circumference of the Earth kwa mbili uanapata umbali.

Umejibu vyema sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…