Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tuambie kwanza. Magharibi mwa dunia panaanzia wapi na vile vile Mashariki panaishia wapi?
Siwezi kujua ni kilometa ngapi, lakini ukitoka mashariki asubuhi , unafika magharibi jioni.Habarini wadau,
Kuna hilo swali hapo juu naomba wadau kwa uelewa wenu mnisaidie kujibu. Kifupi ni kuwa "utatembea umbali gani kutoka mashariki mpaka magharibi mwa dunia?
Hapana. Jibu ni 0 kuelekea E or W mpaka ufike nyuzi 180 ambayo nayo kuelekea E au W. Ukigawa lateral circumference of the Earth kwa mbili uanapata umbali.dunia ni duara, hivyo mash na magh ni ziro distance kutoka kwa mwangaliaji alipo
Siwezi kujua ni kilometa ngapi, lakini ukitoka mashariki asubuhi , unafika magharibi jioni.
Hebu tuambie kwanza. Magharibi mwa dunia panaanzia wapi na vile vile Mashariki panaishia wapi?
Inategemea upo umbali gani kutoka kwenye mipaka yake, hivyo jibu ni kati ya 0.00001km na 10,000kmHabarini wadau,
Kuna hilo swali hapo juu naomba wadau kwa uelewa wenu mnisaidie kujibu. Kifupi ni kuwa "utatembea umbali gani kutoka mashariki mpaka magharibi mwa dunia?
Umbali unaanzia Greenwich/ longitudinal zero - ukielekea kulia ni East na kushoto ni West mpaka utakapo fika nyuzi 180. Kama ilivyo zero ambayo haina E wala W vivyo hivyo 180. Kwa kifupi umbali wa East mpaka West ni nyuzi 180, then convert these degrees into km. Or divide the lateral circumference of the Earth by two.
Hapana. Jibu ni 0 kuelekea E or W mpaka ufike nyuzi 180 ambayo nayo kuelekea E au W. Ukigawa lateral circumference of the Earth kwa mbili uanapata umbali.