Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Bujibuji, umeoa au umeolewa? Hebu niweke wazi mwenzio.
Hivi we uko siriaz??!Maana napata kazi kupata picha ya mwanaume haswa akiwa anahadithia mkewe anavyojigamba kampa libwata.....landa kweli lakini!!!licha ya kufukuwa kazi nina miradi yangu midogo midogo, hela ya petroli na kiyoyozi hainishindi.
Mke wangu ametokea kwenye lile kabila linalopenda ngoma kuliko pesa. Tena anajisifu kwenye kichen pate eti amenilisha limbwata, kwake sina ujanja.
Nimeyapenda hayo masharti. Yawezekana wewe ulikuwa hau pay attention kwa wife kutwa una brows JF, kutwa waangalia mpira. Mamaa anataka full attention. Saaafi. Magazeti soma huko huko kwenye biashara zako ukiwa home wife anataka kukumiliki.
Good!! yafate sababu umejitakia mwenyewe, ungekuwa na kiasi tangu mwanzo yasingekukuta haya
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?
Bora uchague kufa mkuu...!
Kaa nyumbani mpe mapenzi shatashata mkeo, we umerudiwa juzzi tu unajishaua hapa na Jf shauri yako
ah ah ah uncle chelulute,huyo kakukomesha ndo ukome kwenda kula mbuzi kuleeeeeeeeeeeeeee,lkn limbwata kwa mumeo ni pouwa tu,mwambie mi nna ya somalia ukilishwa hiyo kazi yako kukaa ndani tu ukisaga miraaaaaaaaaaaa
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?
Limbwata la Somalia na Mogadishu yana tofauti gani?
Jamani tutoto twangu hatujambo?
Usinikumbushe Adam na Eva na mama kulia machozi ya diamond.