Masharti mapya ya NASA kwamba waruhusiwe kuingia kwenye server za IEBC

Masharti mapya ya NASA kwamba waruhusiwe kuingia kwenye server za IEBC

wapewe access tu ili tukomeshe hii debate mara moja...uchumi unaumia watu hawaendi kazi...wanaogopa

I wish it was as easy as that, give them access to the servers and their next move they proceed to call press conference and concede.
But we all know, it's a dark path with no possible light in the end, the moment they dismissed the current exercise of analyzing and enumerating results from the legitimate forms, that was a decision to dive into the murky street.
I've just watched the press conference by NASA and Orengo has put it clearly that they won't go to court, and that their next move will be constitutional and legitimate.... I've no idea which move or step that is.
 
Kwa matokeo haya Odinga kuwa mshindi ni ngumu sana ...Hongera Jubileee Uhuru Kenyatta @ Ruto
........................................................
FINAL RESULTS
NATIONAL ASSEMBLY
1.JUBILEE MPS----------------163
2.NASA MPS----------------114
3.INDEPENDENTS--------------13
TOTAL===================290
SENATE
1.JUBILEE SENATORS--------------27
2.NASA SENATORS------------------20
TOTAL====================47
GOVERNORS
1.JUBILEE GOVERNORS-------------28
2.NASA GOVERNORS----------------19
TOTAL====================47
WOMEN REPS
1.JUBILEE WOMEN REPS-----------31
2.NASA WOMEN REPS---------------16
TOTAL====================47

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna swali mm kama Fundi ninayejihusisha na mambo ya PLC and programming, kwa nn hayo matokeo tangu juzi Uhuru anaongoza kwa asilimia 10? Kwa nn hiyo asilimia haipandi wala kushuka? Ina maana kura zote za pande mbili zinakuja sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye utwambie Kama hiyo programing ulosoma principle yake inakataza range kutokuwa stagnant!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili wamesema kwamba wakiruhusiwa kuingia na kufungua server za IEBC, basi watakubali kushindwa.
Mimi binafsi naona kama washauri wa Raila watakua wanamdanganya na kumzungusha zungusha mzee wa watu.

Kwanza alisimama juzi na kutuonyesha stakabadhi alizoita logs za kuonyesha kwamba mfumo umedukuliwa, wataalam tulioangalia kwa makini hayo makaratasi ilikua aibu tupu maana zilionyesha ni bootlogs za server aina ya MS SQL 2008 ambayo ni mfumo uliopitwa na wakati, wengi tunajua kwamba IEBC wanatumia Oracle.

Wamekua wakituhumu mambo mengi mara udukuzi mara kile mara hiki, hii imepelekea IEBC kuwaomba waje na makarani na mawakala wao na wana habari na wachunguzi wa kimataifa wakague dodoso/fomu zote moja baada ya nyingine lakini bado haitoshi.

Kwa wao kwenda kwenye server sidhani kama patakua na jipya. Maana hata takwimu walizotuonyesha kwamba wamepewa na jasusi aliye ndani ya IEBC, ukitumia kikotozi/calculator humo kuna makosa mengi kwenye kujumuisha, itakua aliyewapa labda hata naye kapewa na ili awaanike, maana hawakukawia kwanza wahakikiki, walielekea moja kwa moja kwenye vyombo vya habari.

NASA sets term for conceding, asks for access to IEBC servers

kwa ajili ya amani ya kenya na wanakenya,kama tume ya uchaguzi haikufanya figisu basi iwaruhusu waangalie huo mfumo,matokeo yatangazwe ili maisha yaendelee otherwise wanalea mimba itakayokuja kuwacost
 
Kama IEBC wamezijumlisha form 34A na 34B mbele ya kila mtu na matokeo bado yanaonyesha wamepigwa chini .... kwa kweli NASA inabidi wasalimu amri!! Otherwise, huo utakuwa ni uvunjaji wa amani!!

Ngoja tusubiri mkutano wa makamishna wa IEBC na wasimamizi wakuu wa wagombea wamalize mkutano tujue mbichi na mbivu .... by saa 1:30 usiku!!
Jamaa wa NASA wametia aibu sana mbele ya dunia kwa kuendelea kukataa kwamba wameshibdwa. Nadhani ukiondoa Majalauo na jamaa wa Mombasa itakuwa kazi kubwa kupigiwa kura ktk chaguzi zijazo!
 
Kwa matokeo haya Odinga kuwa mshindi ni ngumu sana ...Hongera Jubileee Uhuru Kenyatta @ Ruto
........................................................
FINAL RESULTS
NATIONAL ASSEMBLY
1.JUBILEE MPS----------------163
2.NASA MPS----------------114
3.INDEPENDENTS--------------13
TOTAL===================290
SENATE
1.JUBILEE SENATORS--------------27
2.NASA SENATORS------------------20
TOTAL====================47
GOVERNORS
1.JUBILEE GOVERNORS-------------28
2.NASA GOVERNORS----------------19
TOTAL====================47
WOMEN REPS
1.JUBILEE WOMEN REPS-----------31
2.NASA WOMEN REPS---------------16
TOTAL====================47

Sent using Jamii Forums mobile app
Takwimu za senetaz siyo sahihi vipo vyama vingine vimechukua nafasi za useneta mfano Isiolo, Mombasa na maeneo mengine mengi NASA hawana viti 20 vya Seneta
 
hayo ndo madhara ya kuingia kwenye mechi huku imejihalalishia ushindi NASA wakubali tu hata dunia itawashangaa kwa wanayayoyafanya
 
kwa ajili ya amani ya kenya na wanakenya,kama tume ya uchaguzi haikufanya figisu basi iwaruhusu waangalie huo mfumo,matokeo yatangazwe ili maisha yaendelee otherwise wanalea mimba itakayokuja kuwacost

Kwa uelewa wangu, humo kwenye server hawatakosa jipya la kuamsha. Labda kama vipi waitwe wataalam wa kujitegemea na wasioegemea upande wowote, ikiwezekana watoke kwenye nchi majirani waje wafungue servers mbele ya wana habari wote wa huku na wa kimataifa halafu wenyewe watoe taarifa bila kushinikizwa au msukumo wowote.

Maana wataalam wa NASA naona kama watakua wanamdanganya Raila na kumwambia kile anachotaka kusikia ili kumfurahisha. Hizo server logs walizozionyesha, zipo kwenye mitandao, nimezipitia aisei kama ndio wanawasilisha eti ndio ushahidi, basi wanakosea pakubwa.
Kingine, walisema nenosiri au password ya jamaa aliyeuawa mkuu wa ICT ndio ilitumika kudukua, hivi inawezekana kwamba password zake zilibaki hewani baada ya yeye kuuawa, haileti picha wala mantiki, aidha basi IEBC watakua wazembe sana.
 
Raila is being highly lied and poor guy yupo kimya akitegemea Kenya nzima itawaka moto...too bad so far amani imetawala maeneo mengi tu...na saa wamejifungia ndani na hao ma Principals wenzake wakitegemea Uhuru awapigie kuwaomba yaishe na wakumbali nusu mkate...kabla ya uchaguzi walikua hawakauki mahakamani dhidi ya IEBC sasa wanadai hawana imani tena na mahakama...Orengo s misleading Raila with facts...
 
Ukweli election ya 2013 nilikuwa namsapoti sana Raila, baada ya kujiunga na mfalme J nilimgeuka kama anaamini kuwa mfalme wa Tz ni kiongozi bora na mfano kwake, basi wakenya wamefanya maamuzi sahihi kabisa kumpiga chini, wangejuta, bwana uhuru tunahitaji msaada wako 2020 huku,
 
Kwa uelewa wangu, humo kwenye server hawatakosa jipya la kuamsha. Labda kama vipi waitwe wataalam wa kujitegemea na wasioegemea upande wowote, ikiwezekana watoke kwenye nchi majirani waje wafungue servers mbele ya wana habari wote wa huku na wa kimataifa halafu wenyewe watoe taarifa bila kushinikizwa au msukumo wowote.

Maana wataalam wa NASA naona kama watakua wanamdanganya Raila na kumwambia kile anachotaka kusikia ili kumfurahisha. Hizo server logs walizozionyesha, zipo kwenye mitandao, nimezipitia aisei kama ndio wanawasilisha eti ndio ushahidi, basi wanakosea pakubwa.
Kingine, walisema nenosiri au password ya jamaa aliyeuawa mkuu wa ICT ndio ilitumika kudukua, hivi inawezekana kwamba password zake zilibaki hewani baada ya yeye kuuawa, haileti picha wala mantiki, aidha basi IEBC watakua wazembe sana.
kwa faida ya sisi ambao hatujaziona unaweza kuzi post hapa
 
Back
Top Bottom