Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
wapewe access tu ili tukomeshe hii debate mara moja...uchumi unaumia watu hawaendi kazi...wanaogopa
Wewe ndiye utwambie Kama hiyo programing ulosoma principle yake inakataza range kutokuwa stagnant!!Kuna swali mm kama Fundi ninayejihusisha na mambo ya PLC and programming, kwa nn hayo matokeo tangu juzi Uhuru anaongoza kwa asilimia 10? Kwa nn hiyo asilimia haipandi wala kushuka? Ina maana kura zote za pande mbili zinakuja sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili wamesema kwamba wakiruhusiwa kuingia na kufungua server za IEBC, basi watakubali kushindwa.
Mimi binafsi naona kama washauri wa Raila watakua wanamdanganya na kumzungusha zungusha mzee wa watu.
Kwanza alisimama juzi na kutuonyesha stakabadhi alizoita logs za kuonyesha kwamba mfumo umedukuliwa, wataalam tulioangalia kwa makini hayo makaratasi ilikua aibu tupu maana zilionyesha ni bootlogs za server aina ya MS SQL 2008 ambayo ni mfumo uliopitwa na wakati, wengi tunajua kwamba IEBC wanatumia Oracle.
Wamekua wakituhumu mambo mengi mara udukuzi mara kile mara hiki, hii imepelekea IEBC kuwaomba waje na makarani na mawakala wao na wana habari na wachunguzi wa kimataifa wakague dodoso/fomu zote moja baada ya nyingine lakini bado haitoshi.
Kwa wao kwenda kwenye server sidhani kama patakua na jipya. Maana hata takwimu walizotuonyesha kwamba wamepewa na jasusi aliye ndani ya IEBC, ukitumia kikotozi/calculator humo kuna makosa mengi kwenye kujumuisha, itakua aliyewapa labda hata naye kapewa na ili awaanike, maana hawakukawia kwanza wahakikiki, walielekea moja kwa moja kwenye vyombo vya habari.
NASA sets term for conceding, asks for access to IEBC servers
Jamaa wa NASA wametia aibu sana mbele ya dunia kwa kuendelea kukataa kwamba wameshibdwa. Nadhani ukiondoa Majalauo na jamaa wa Mombasa itakuwa kazi kubwa kupigiwa kura ktk chaguzi zijazo!Kama IEBC wamezijumlisha form 34A na 34B mbele ya kila mtu na matokeo bado yanaonyesha wamepigwa chini .... kwa kweli NASA inabidi wasalimu amri!! Otherwise, huo utakuwa ni uvunjaji wa amani!!
Ngoja tusubiri mkutano wa makamishna wa IEBC na wasimamizi wakuu wa wagombea wamalize mkutano tujue mbichi na mbivu .... by saa 1:30 usiku!!
Takwimu za senetaz siyo sahihi vipo vyama vingine vimechukua nafasi za useneta mfano Isiolo, Mombasa na maeneo mengine mengi NASA hawana viti 20 vya SenetaKwa matokeo haya Odinga kuwa mshindi ni ngumu sana ...Hongera Jubileee Uhuru Kenyatta @ Ruto
........................................................
FINAL RESULTS
NATIONAL ASSEMBLY
1.JUBILEE MPS----------------163
2.NASA MPS----------------114
3.INDEPENDENTS--------------13
TOTAL===================290
SENATE
1.JUBILEE SENATORS--------------27
2.NASA SENATORS------------------20
TOTAL====================47
GOVERNORS
1.JUBILEE GOVERNORS-------------28
2.NASA GOVERNORS----------------19
TOTAL====================47
WOMEN REPS
1.JUBILEE WOMEN REPS-----------31
2.NASA WOMEN REPS---------------16
TOTAL====================47
Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara ipo kwa Raila kisaikolojia, coz umri imeenda na ameshajaribu sana sasa amechoka.Kwani wasipokubali kushindwa kuna madhara gani??
Madhara ipo kwa Raila kisaikolojia, coz umri imeenda na ameshajaribu sana sasa amechoka.Kwani wasipokubali kushindwa kuna madhara gani??
kwa ajili ya amani ya kenya na wanakenya,kama tume ya uchaguzi haikufanya figisu basi iwaruhusu waangalie huo mfumo,matokeo yatangazwe ili maisha yaendelee otherwise wanalea mimba itakayokuja kuwacost
hana chamahapo hamna kitu raila akubali kshindwa akajenge chama sasa....
kwa faida ya sisi ambao hatujaziona unaweza kuzi post hapaKwa uelewa wangu, humo kwenye server hawatakosa jipya la kuamsha. Labda kama vipi waitwe wataalam wa kujitegemea na wasioegemea upande wowote, ikiwezekana watoke kwenye nchi majirani waje wafungue servers mbele ya wana habari wote wa huku na wa kimataifa halafu wenyewe watoe taarifa bila kushinikizwa au msukumo wowote.
Maana wataalam wa NASA naona kama watakua wanamdanganya Raila na kumwambia kile anachotaka kusikia ili kumfurahisha. Hizo server logs walizozionyesha, zipo kwenye mitandao, nimezipitia aisei kama ndio wanawasilisha eti ndio ushahidi, basi wanakosea pakubwa.
Kingine, walisema nenosiri au password ya jamaa aliyeuawa mkuu wa ICT ndio ilitumika kudukua, hivi inawezekana kwamba password zake zilibaki hewani baada ya yeye kuuawa, haileti picha wala mantiki, aidha basi IEBC watakua wazembe sana.
huyu mwenyekiti sidhani hata ana mwaka tangu akibidhiwe ushukani...na wamekambiliana na kesi nyingi sana mahakamani mpaka kuja kufanikisha kura ipigwe..wanahitaji pongezi sanaTume ya uchaguzi ya Kenya inastahili medali ya dhahabu! Kwa kweli nawaonea wivu mzuri!
Sent using Jamii Forums mobile app