Masharti na kanuni nilizo kutana nazo kwenye Nyumba za kupanga.

Masharti na kanuni nilizo kutana nazo kwenye Nyumba za kupanga.

Huu Uzi wako unaweza kuunganishwa sababu Kuna Uzi HUMU UNAELEZEA VISA NA MATUKIO YA NYUMBA ZA KUPANGA
utafute Kuna MATUKIO YA kustaajabisha na kusikitishaa

Mpaka Kuna watu walio okota nyumba imagine.

Tukio
Nilimsindikiza bro kutafuta nyumba huko chamazi
Moja ya sharti ilitakiwa kuwa muislamu mama mwenye nyumba anasema hataki mkristo kisa ATAPIGA KWAYA (NYIMBO ZA INJILI)
Hawa Sasa wanaudini wa kuona Kwa macho asee
 
Kuna nyumba magomeni enzi hizo napanga moja ya shati ni kwamba umeme unazimwa saa moja asubuhi unarudishwa saa moja usiku na unachangia jero ya umeme kwa siku
 
Back
Top Bottom