Masharti na kanuni nilizo kutana nazo kwenye Nyumba za kupanga.

Hawa Sasa wanaudini wa kuona Kwa macho asee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unaonaa ss masharti hayo alafu unasema nitoke Kwa shemeji wkt Kila cku nakula nyamaa mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚
Shida Shem wako akimzingua dadako itabidi muondoke wote bila kuuliza swali
 
Kuna nyumba magomeni enzi hizo napanga moja ya shati ni kwamba umeme unazimwa saa moja asubuhi unarudishwa saa moja usiku na unachangia jero ya umeme kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…