Masharti ya kipimo cha mionzi ni yapi?

Disminder girl

Senior Member
Joined
Nov 26, 2012
Posts
156
Reaction score
26
Habari zenu wanajamvi

Kuna rafiki yangu ana tatizo la kansa anatakiwa achome mionzi, na mpaka dakika hii yupo Ocean Road. Kwa sasa ana na bado hajaanza tiba.

Kwani mtu anayechoma mionzi inabidi awe katika hali gani?

Mwenye uelewa anisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…