Mdau mkipewa uhuru wa kumiliki ardhi Zanzibar, wenyeji wote mtawahamisha, maana aridhi yao ni ndogo sana, hebu fikiria mkoa wa Dar Es Salaam kwa ukubwa wake linganisha na Zanzibar kisha oanisha wakaazi wa miji yote miwili.Kati mambo ya hovyo ambayo Mwl Nyerere alituachia ni huu muungano chawa.
Kwahiyo yeye na baba yake wamefuata utaratibu huo kule Dakawa?Kwetu sisi bara Mzanzibar anapewa Ardhi na ana mili Ardhi. Lak,ni Mtu anaye toka Bara Aka Tanzania Bara akienda unguja anakodishwa Aradhi kwa muda maalum Je kweli kuna haki hapo?
View attachment 2517418
Wakija huku unabaki kuimba. mpemba, mpenda. Huku wakimiriki ardhi. Dah.Kwetu sisi bara Mzanzibar anapewa Ardhi na ana mili Ardhi. Lak,ni Mtu anaye toka Bara Aka Tanzania Bara akienda unguja anakodishwa Aradhi kwa muda maalum Je kweli kuna haki hapo? Hata sisi Wabara tukienda unguja tunaonekana ni wageni .Lakini Wa-Zanzibar wakija huku bara ni kwao wanafanya wanavyotaka lohhh Majangaa kweli Huu Muungano wetu.
View attachment 2517418
Wao Wanaupiga MwingiKwani ccm ya bala (Tanganyika) wao wanasemaje?
So watanzania bara hatuna tofauti na wazungu?Kwetu sisi bara Mzanzibar anapewa Ardhi na ana mili Ardhi. Lak,ni Mtu anaye toka Bara Aka Tanzania Bara akienda unguja anakodishwa Aradhi kwa muda maalum Je kweli kuna haki hapo? Hata sisi Wabara tukienda unguja tunaonekana ni wageni .Lakini Wa-Zanzibar wakija huku bara ni kwao wanafanya wanavyotaka lohhh Majangaa kweli Huu Muungano wetu.
View attachment 2517418
Hata bara, ukipewa ardhi, unamiliki kwa mda maalumu🤷♂️😁ikiisha unaomba tena,, kuna miaka 40 au 99 kama sikoseiKwahiyo yeye na baba yake wamefuata utaratibu huo kule Dakawa?
Wabara wamezoea wanasiasa waongo, Mwinyi ananyoosha tu,Kaongea Ukweli' mchungu
Hata hapa Mkuranga,Mwinyi Sr na Mwinyi Jr wote wanamiliki maelfu ya hekari za ardhi.Kwahiyo yeye na baba yake wamefuata utaratibu huo kule Dakawa?
Hivi! Kwa nini huwezi kupata shamba kwenye hifadhi ya Ngorongoro, Mikumi n. k? Au kwa nini huwezi kujenge nyumba yako juu ya mlima Kilimanjaro?Kwetu sisi bara Mzanzibar anapewa Ardhi na ana mili Ardhi. Lak,ni Mtu anaye toka Bara Aka Tanzania Bara akienda unguja anakodishwa Aradhi kwa muda maalum Je kweli kuna haki hapo? Hata sisi Wabara tukienda unguja tunaonekana ni wageni .Lakini Wa-Zanzibar wakija huku bara ni kwao wanafanya wanavyotaka lohhh Majangaa kweli Huu Muungano wetu.
View attachment 2517418