Masharti ya nyumba za kulala wageni kuzuia jinsia moja kulala chumba kimoja

Masharti ya nyumba za kulala wageni kuzuia jinsia moja kulala chumba kimoja

Hio sheria ipo miaka yote, na lengo sio ushoga bali ni business,
Usiogope, lipia vyumba viwili, kama kweli mnapendana mnataka mlale wote, lipien vyumba viwili kisha mmoja akamtembelee mwenzake,
Ila vyumba lipieni viwili, that is law
 
Budget yako wewe inahusiana nini na serikali.
Nimesema nadhan km serikali imeziambia lodge zote ziwe na masharti hayo coz yanafanana; na budget matters coz nikikodi sehem nina haki ya kuwa na mtu yoyote na kushare naye km kubana bajeti
 
Hizo biashara zimeshamiri sana kwenye miji mikuu.. Kwa Dar ni
Kinondoni
Magomeni
Ubungo
Ilala
Temeke
Buguruni
Tabata
Kawe
Tegeta
Buza nknk

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi fikia La Vesta Lodge magomeni kama wiki mbili. Opposite pale kuna 'mangi shop' ndio ilikuwa chimbo langu baada ya kumaliza harakati za siku . Kuna manzi nikailewa nikaidaka. Kama siku tatu mfululizo nikawa napiga. Siku moja mchana nikamtext, njoo lodge tunywe. Naona kaja na jamaa, at a glance tu unajua ni shoga. Nikaona hapa kuna picha linataka kuchezwa. Fasta, nikawaambia tutakae Restaurant. Wakati tuko kwenye corridor, nikawaambia kuna kitu nimesahau tangulieni. Nikarudi ndani, nikfunga mlango, nikampigia, kuwa endelea na ratiba zako, sintoweza kutoka. Mida ya jioni nimeenda pale dukani, nakuta yupo yule dem na vijamaa viwili, mlendamlenda. Kwa wiki mbili nilizokaa pale, nilisaidiki magomeni uyasemayo ni kweli.
 
Halafu ukiona demu anakuwa na kampani na shoga ujue anajiamini sana[emoji23] atoacho shoga yeye pia hashindwi kutoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi sana ila kwa hali ilivyo sasa on the ground mambo ni tofauti kabisa.. Wajuba wanagawa viboga kama hawana akili nzuri.. Na hili tangazo la Serikali sidhani kama litasaidia sana, maana hizi mambo wahusika wanafanya na wahudumu wa hizo nyumba za wageni... Labda uwe mgeni ndio utazinguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa
 
Tena ianze haraka hiyo sheria, mnalalaje chumba kimoja jinsia moja ebooh!!
Hizo kazi mnafanya usiku mzima, hampumziki?!! Ww kwanza kwann ikuume sana..?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo isikuzuie kala kina delicious, mpe delicious achukue chumba jirani na chako, ukiona kumetulia Zama ndani kwake mzabe makofi mpaka hamu ikuishe. Kesho Rudi kwa mkeo.
Nimechekaa had machoziii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna baadhi ya sehemu vijana wanashea sana mageto .
Unakuta chumba kimoja kinapangwa na kijana zaidi ya mmoja katika kubana matumiz.
Haya mambo yapo
 
Back
Top Bottom