inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
kiarabu ndiyo baba mzazi wa kiswahili..huwezi kuvitenganisha ikiwa utataka kukizungumza kiswahili kwa usanifu na ufaswaha wakeNi utumwa na dini uchwara hizi za kigeni.
Pumbafusana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiarabu ndiyo baba mzazi wa kiswahili..huwezi kuvitenganisha ikiwa utataka kukizungumza kiswahili kwa usanifu na ufaswaha wakeNi utumwa na dini uchwara hizi za kigeni.
Pumbafusana
🙂🙂🙂Hiyo ni colonial legacy na ipo kwenye dini zote
1.Muislamu hupenda kumuiga muarabu aliyemletea dini kuanzia mavazi, chakula tabia hata matamshi ambayo mara kwa mara wanashindwa kutamka vyema lahaja za kiswahililakini mbongo anaanza kumuiga tena huyo anayekosea ili afanane naye
2.Mkristo naye hupenda kumuiga mzungu aliyemletea dini kuanzia mavazi, tabia, lugha na matamshi. Sana sana walokole ndio wamekubuhu kwenye hili, unakuta mzungu anashindwa kutamka lahaja za kiswahili kama jioni yeye ataita CHIONI sasa unakuta mbongo nabii wa magumashi naye anaiga vile vile makosa ya mzungu.......CHIONI YA LEO BWAANA ATAKUCHA KUONGEA MAHALI HAPA""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hiyo ni colonial legacy na ipo kwenye dini zote
1.Muislamu hupenda kumuiga muarabu aliyemletea dini kuanzia mavazi, chakula tabia hata matamshi ambayo mara kwa mara wanashindwa kutamka vyema lahaja za kiswahililakini mbongo anaanza kumuiga tena huyo anayekosea ili afanane naye
2.Mkristo naye hupenda kumuiga mzungu aliyemletea dini kuanzia mavazi, tabia, lugha na matamshi. Sana sana walokole ndio wamekubuhu kwenye hili, unakuta mzungu anashindwa kutamka lahaja za kiswahili kama jioni yeye ataita CHIONI sasa unakuta mbongo nabii wa magumashi naye anaiga vile vile makosa ya mzungu.......CHIONI YA LEO BWAANA ATAKUCHA KUONGEA MAHALI HAPA""
Hahahahahaha usinivunje mbavu zangu mieHahhahahaa. Eti kilatino. Wauminino toenino sadakino sandukino. Li parokooo hiloooo.
Ni aina ya ujinga ulijengwa na waarabu walipoleta dini.nikimsikia mtu anaongea hivyo napata hasira,kuna mapadrii pia hutumia lafudhi ya kiebrania japo wao ni wakati ule tu wa kuongoza ibada ila kwa hawa wa kuigiza lafudhi ya kiaarabu wenyewe mpaka mtaani unawasikia eti wanalaza kiswahili utadhani wametokea Oman,kumbe ni wa Ikungi Singida
kwa kweli kiswahili hatujui ni kama wewe ulivyoandika "wajuvi" ukidhani ndio "wajuzi" kumbe Wajuvi kwa kiswahili ni watu wasiokua na heshima.Wajuvi wa kiswahili TZ ni wachache sana, ila swala analouliza huyu bwana ni lafudhi, wewe wasikilize mashehe au wale manguli wa kusoma Koran! Ila nami ntafuatilia kiswahili cha mapadri, je kina lafudhi ya kiingereza, kilatino au kirumi?!
Hahahaha ila kuna kaukweli hapo...waTZ kwa swaga na umaskini wetu acha kabisa..🙂😉
Makamanda hali sio nzuri... kamanda Lema tumemtuma Arusha sisi hahaNi uamuzi;
Kwani ni mara ngapi tulishuhudia wanaccm wanapoongea wanaiga sauti mfano ya NAPE (Enzi zile akiwa kundini)
Kwani ni mara ngapi tunaona wanachadema wakiongea wanaiga sauti ya Mbowe
Kwa asilimia ni 20% tu ndio yanatoka kwenye kiarabu 80% yanatoka kwenye lugha za kibantu na lugha nyingine.Asilimia kubwa ya maneno ya kiswahili ni ya Kiaarabu
Hata kwenye kiingereza kuna maneno ya Kiarabu mfano Admiral,Assassin,Lime na kadhalika
Neno pekee la msamiati wa kiswahili toka kwenu ugogo ni Ikulu pekee
Hawawezi kukubali... na ngoja mtu fulani akuoneKwa asilimia ni 20% tu ndio yanatoka kwenye kiarabu 80% yanatoka kwenye lugha za kibantu na lugha nyingine.
Kweli mkuu.. Wanataka kiswahili cha Tanga kifanane nacha Musoma.wa mkoa utawajua tu
Wakatae tu kwa kuwatumikia mabwana zao lakini huo ndio ukweli mchungu hahaHawawezi kukubali... na ngoja mtu fulani akuone
Neno lenyewe kiswahili ni neno lakiarabu.Kwa asilimia kubwa kiswahili kinatoka na kiarabu na hata ukiangalia baadhi ya maneno yanatumika kama yalivyo kwa lugha zote mbili.
Neno kama 'shukrani...sabaa, sita, kabur... hayo ni baadhi ya maneno (kwa uchache) ambayo yanatumika na lugha zote kama yalivyo...
Kiswahili kilianzia pwani, sehemu kama zanzibar, dar es salaam n.k, na tunajua kuwa sehemu hizi ndizo zilikaliwa na waarabu so kuongea kiswahili katika lafudh ya kiarabu ni kama kukirudisha kwenye asili yake.
Mie nilijibu huko nyuma mkuu, nikaliweka neno hivyo hivyo (copy and paste)!kwa kweli kiswahili hatujui ni kama wewe ulivyoandika "wajuvi" ukidhani ndio "wajuzi" kumbe Wajuvi kwa kiswahili ni watu wasiokua na heshima.
Yani mmefundishwa Kiswahili kutoka huko kwenu bara, tayari mnajiona wajuvi!!!
hahahaHili swala la mashehe kuongea kiswahili kama vile hawakijuwi vizuri na chenye lafudhi ya kiarabu ni manjonjo au ndio ukweli mashehe wetu kiarabu kinapanda sana mpaka yawa taabu na shidaaa kuongea kiswahili kama sisi cha kibantu hasa hasa?! Twauliza tu..Itabidi na maaskofu nao wawe basi na lafudhi ya kiingereza wanapohubiri makanisani! Waende sambamba na mashehe!🙂😉
kiarabu ndiyo baba mzazi wa kiswahili..huwezi kuvitenganisha ikiwa utataka kukizungumza kiswahili kwa usanifu na ufaswaha wake
Ha haaa we mtu hufaiHahhahahaa. Eti kilatino. Wauminino toenino sadakino sandukino. Li parokooo hiloooo.