Mashehe kuongea kiswahili kama kiarabu..!

🙂🙂🙂
 
Asilimia kubwa ya maneno ya kiswahili ni ya Kiaarabu
Hata kwenye kiingereza kuna maneno ya Kiarabu mfano Admiral,Assassin,Lime na kadhalika
Neno pekee la msamiati wa kiswahili toka kwenu ugogo ni Ikulu pekee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 


Teeeh teeeh teeeh teeeh,
Pokea like mubashara kabisa
 
Ni jambo la kawaida sana.... Mtu huathirika na lugha anayoitumia mara kwa mara...Na ndio maana hata vijana wengi waliopitia katika elimu hii ya kizungu huenda akashindwa kuongea robo saa bila neno la kiingereza...
 
kwa kweli kiswahili hatujui ni kama wewe ulivyoandika "wajuvi" ukidhani ndio "wajuzi" kumbe Wajuvi kwa kiswahili ni watu wasiokua na heshima.
 
Ni uamuzi;
Kwani ni mara ngapi tulishuhudia wanaccm wanapoongea wanaiga sauti mfano ya NAPE (Enzi zile akiwa kundini)
Kwani ni mara ngapi tunaona wanachadema wakiongea wanaiga sauti ya Mbowe
Makamanda hali sio nzuri... kamanda Lema tumemtuma Arusha sisi haha
 
Asilimia kubwa ya maneno ya kiswahili ni ya Kiaarabu
Hata kwenye kiingereza kuna maneno ya Kiarabu mfano Admiral,Assassin,Lime na kadhalika
Neno pekee la msamiati wa kiswahili toka kwenu ugogo ni Ikulu pekee
Kwa asilimia ni 20% tu ndio yanatoka kwenye kiarabu 80% yanatoka kwenye lugha za kibantu na lugha nyingine.
 
Neno lenyewe kiswahili ni neno lakiarabu.
 
QUOTE="REDEEMER., post: 21822757, member: 275470"]kwa kweli kiswahili hatujui ni kama wewe ulivyoandika "wajuvi" ukidhani ndio "wajuzi" kumbe Wajuvi kwa kiswahili ni watu wasiokua na heshima.[/QUOTE]
kwa kweli kiswahili hatujui ni kama wewe ulivyoandika "wajuvi" ukidhani ndio "wajuzi" kumbe Wajuvi kwa kiswahili ni watu wasiokua na heshima.
Mie nilijibu huko nyuma mkuu, nikaliweka neno hivyo hivyo (copy and paste)!
Yani mmefundishwa Kiswahili kutoka huko kwenu bara, tayari mnajiona wajuvi!!!
 
hahaha
daah ila mkuu umenifurahisha sana. hili ni swali nililojiulizaga siku nyingi sana.

Ukweli ni Kwamba waislamu wengi hasa wenye dini sana huwa wanatamani kuwa waarabu. yaani wanatamani sana huwa wanajuta hata kuwa weusi maskini
 
kiarabu ndiyo baba mzazi wa kiswahili..huwezi kuvitenganisha ikiwa utataka kukizungumza kiswahili kwa usanifu na ufaswaha wake


Acha ujinga, utumwa na upoyoyo wa kufikili na kujitoa ufahamu.

Wewe, Mtafute Mwl wa Kiswahili atakuelimisha mchanganuo mzuri juu ya Kiswahili.
 
Huu usanii upo kila mahala. Wasikilize waimbaji wetu wa miziki ya kisasa. Wengi wao, waume kwa wake, lakini hasa wake, wakiimba (sio rap, hip-hop au hata hizi za kubana pua) utakuta anaimba kiswahili kama mzungu.

Hutamka maneno ya Kiswahili utadhani ana kaa la moto kinywani wakati kazaliwa na kukulia Mwahako, Tanga.

Kwa hiyo tusiwalalie sana mashehe na makasisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…