Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.
Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.
FaizaFoxy
Malaria 2 tupe mwongozo hapa.Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.
Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.
FaizaFoxy
Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.
Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.
FaizaFoxy
UjuajinHuyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Mchochezi!Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.
Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.
FaizaFoxy
View attachment 3145792
Nina wasiwasi huyu Sheikh anaweza kutekwa,Mafwele anamlia timing tuBado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.
Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.
FaizaFoxy
View attachment 3145792
Mimi mwenyew imani yangu ni Islam na hivyo ndivyo nilivyofundishwa kuwa mwanamke anaweza kuwa kiongizi ila sio ngazi ya juu kabisa labda itokee hakuna mwanaume hata mmoja mwenye sifa za kuongoza.Ujuajin
Hadi unapiga mashehe
Tumejionea sisi wenyewe. Sio ya kuambiwa.Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.
Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.
FaizaFoxy
View attachment 3145792
Namuonya Mafwele na genge lake wasijaribu kumteka huyu Sheikh watapata tabu sana.Hakika shehe amesema ila watakuja akina mufti naunafik wao kutaka kupuliza perfume kwenye uvundo
Aliwahi kuwepo khalifa mwanamke akaongoza umma wa Waislam?Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Leo unakana hadith sahih kabisa kwa vile tu inakwenda kinyume na matakwa yako ya kidunia?Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Kazi kwenu waisilamu, je, mtaasi maandiko ya Mtume kwa ajili ya kupokea dinari?Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.
Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.
FaizaFoxy
View attachment 3145792
Siku hizi tunakimbilia kusema AI sheikh kazungumza kwa imani yake.Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.