Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Uislam una Madhehebu

Labda utufafanulie kwa Sababu Bakwata ina Viongozi Wengi tu Wanawake

Pili Tanzania siyo Nchi ya Kiislam hivyo Katiba waliotuachia Wamishioni ndio Mwongozo wa maisha ya watanzania
Bakwata ni Taifa?
Kiongozi Gani wa juu wa Bakwata ni mwanamke?
Mufti wa TANZANIA ni mwanamke?
Tanzania tumejitafitia laana wenyewe, tupo kinyume na nature
 
Ipo bana Hadith imesema hivyo hamna nchi itakayofanikiwa kwa kuwa na kiongozi mwanamke asa we bishana for the sake of kubisha wakati we mwenyewe unajua
Hizzo pia ni porojo zako. Mwongozo wa Kiislam siyo porojo. Qur'an.
 
Ila wewe bibi ni mnafiki. Leo unakana hadith sahih kabisa kwa vile tu inakwenda kinyume na matakwa yako ya kidunia?
Hakuna AI hapo, ni nukuu sahih kabisa.

‘Never will succeed such a nation as makes a woman their ruler’ [al Bukhari].

The positions of leadership that the hadith refers to is those of the Imam (both of a nation and of the male/mixed congregational prayer), judges, and chief commanders of the Muslim army and those who carry out judicial punishments. However, even in regards the position of a judge, there were some scholars who permitted woman to be judges. [Fathul Bari, Tuhfa al Muhtaj, Fathul Mu’in, Ihya Ulum al Din].
hakuna zaidi ya porojo tu ha[po.

Waislam mwongozo wegtu ni Qur'an, siyo porojo za mtu.

Labda nikupe ddarsa kidogo:
Chochote ambacho hakijaharamishwa na mwenyezi Mungu ni halali Kiislam.

Usisahau hilo.
 
Uislam una Madhehebu

Labda utufafanulie kwa Sababu Bakwata ina Viongozi Wengi tu Wanawake

Pili Tanzania siyo Nchi ya Kiislam hivyo Katiba waliotuachia Wamishioni ndio Mwongozo wa maisha ya watanzania
Punguza kasi, hajasema kuhusu vyeo vya chini, amesema dini inakataza kuwa kiongozi wa juu kabisa kuwaongoza wanaume na ametaja nafasi zinazokubalika.
 
Niambie wapi kwenye hio Quran wamekuelekeza namna ya kusali?..
Hadith ikiwaumbua mnakimbilia Quran
Hapa hakuna ubishi wa hadithi wala Qur'an.

Sikusikia katika video ikinukuliwa Qur'an wala hadithi.

Inabaki kuwa porojo tu.
 
Aliwahi kuwepo khalifa mwanamke akaongoza umma wa Waislam?
Tupo wengi sana, kupita mfano. Hata mama'ko ni Khalifa (t) au alikuamrisha weqe ufanye maovu uwache mema?

Labda huelewi maana ya neno Khalifa (t). Kila binadam mwenye kukataza maovu na kuamrisha mema ni Khalifa (t).

Kafanye homework yako urudi tena na jingine. Uislam ni mwema sana.
 
Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.

Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.

FaizaFoxy

View attachment 3145792
 
Mchochezi mleta mada sheikh kasema kama alivyonukuu hakusema aungwe mkono Mzee Chakaza!
Kipara umefanya nicheke hadi nimepaliwa! Haungwi mkono yeye inaungwa mkono hoja yake na kuiheshimu!
Kipara vipi bana!
 
Back
Top Bottom