Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Hadith ya mtume صلى الله عليه وسلم ni sahihi,na ndio ilivyo,japo mtoa mada ameona ina maslahi upande wake..!
 
Kazi kwenu waisilamu, je, mtaasi maandiko ya Mtume kwa ajili ya kupokea dinari?
Hayo aliyoyasema Shehe di msneno yake bali ni maagizo toka kwa Mtume.
Kwenu Bakwata, je, nanyi mtamuasi Mtume kwa ajili ya kupokea dinari?

Bro, usicheze na kitu inaitwa dinari. Imekengeusha watu wema wengi sana katika historia ya binadamu.
 
Mwongozo wa Kiislam ni Qur'an. Kama hupendi, jinyonge.

Kondoo anapokuwa mtaalam wa Uislam. Majanga!
 
Mimi mwenyew imani yangu ni Islam na hivyo ndivyo nilivyofundishwa kuwa mwanamke anaweza kuwa kiongizi ila sio ngazi ya juu kabisa labda itokee hakuna mwanaume hata mmoja mwenye sifa za kuongoza.
Nimekuwa nafatilia kwa miaka mingi maoni ya huyo mama naisi kabisa ana Uzanzibar na Uzanzibara mwingi sana hadi wakati mwingine anaonesha chuki za wazi.

Zanzibaaa penyewe bila kumungunya maneno kamwe Mwanamke hawezi kuwa Rais mpaka kiyama na ufufuo utakapofika .

Na pia hakuna Taifa la Kiislam lililotawali na Mwanamke .
Hata shehe mkuu anajua na pia Dr. Samia anajua lakini ni wanaume wa Tanganyika wameamua kumuazima kutokana na katiba na maslahi binafsi kuwa mbele lakini pia kuna tatizo kubwa la kimaadili Karibu duniani kote watu hawamjali wala kumuogopa Mwenyezi Mungu.

Kiu na tamaa ya Mwanamke wa kwanza kuumbwa Duniani bado inaendelea . Mwanamke alitamani kuwa kama Mungu ili amtawale Mwanaume na kila kitu. Baada ya kushindwa na kuiingiza dunia kwenye laana na dhambi alibaki na tamaa ya kuwa sawa na mwanaume ili tu asitawaliwe na mwanaume na pole pole amtawale Mwanaume sasa dunia imeingia kwenye laana ya wanaume kuwa dhaifu na mashoga na machawa .Dunia inarudishwa kwenye utumwa wa dhambi ya ushoga ulawiti na usagaji kwa sababu ya imani ya Mwanamke na mwanaume kuwa sawa.
If A=B and B=C then A=C
Sasa dunia imepigwa upofu wetu wanaingiza au kuingizwa popote penye uwazi iwe kwa mwanamme au mwanamke. Yeyote anaweza kuoa au kuolewa na yeyote kwa sababu tumesema wote ni sawa na kuwafundisha jamii nzima hivyo.

Shetani ameumbwa akiwa na tabia zote zinazofanana sana na mwanamke. Wanazuoni wanasema mwanamke ameumbwa kwa ladha ya sheitwani. Hata apewe nini kamwe hawezi kuridhika. Atapenda kutukuzwa na kusifiwa na ukimpinga utakua adui mkubwa sana ni hulka aliyoumbiwa. Atatamani kila kizuri kiwe chake na familia yake .

Bora pawe na Kijitabu kinachoitwa Katiba kinachoweza angalau kumdhibiti kidogo mwanamke kuweka pembeni wanawake wake.
 
Nyingi sana ni porojo, siyo zote.

Ni mambo yaliyoandikwa na watu, ukweli njoo, uongo njoo, utam kolea.

Kitabu kisichokuwa na shaka duniani ni Qur'an pekee.
Ni Kweli Qur'an hutumika hata kurogea hawa Mateja wanaokwapua Mali za Wapemba 🐼
 
Zanzibaaa penyewe bila kumungunya maneno kamwe Mwanamke hawezi kuwa Rais mpaka kiyama na ufufuo utakapofika .

Na pia hakuna Taifa la Kiislam lililotawali na Mwanamke .
Hata shehe mkuu anajua na pia Dr. Samia anajua lakini ni wanaume wa Tanganyika wameamua kumuazima kutokana na katiba na maslahi binafsi kuwa mbele lakini pia kuna tatizo kubwa la kimaadili Karibu duniani kote watu hawamjali wala kumuogopa Mwenyezi Mungu.

Kiu na tamaa ya Mwanamke wa kwanza kuumbwa Duniani bado inaendelea . Mwanamke alitamani kuwa kama Mungu ili amtawale Mwanaume na kila kitu. Baada ya kushindwa na kuiingiza dunia kwenye laana na dhambi alibaki na tamaa ya kuwa sawa na mwanaume ili tu asitawaliwe na mwanaume na pole pole amtawale Mwanaume sasa dunia imeingia kwenye laana ya wanaume kuwa dhaifu na mashoga na machawa .Dunia inarudishwa kwenye utumwa wa dhambi ya ushoga ulawiti na usagaji kwa sababu ya imani ya Mwanamke na mwanaume kuwa sawa.
If A=B and B=C then A=C
Sasa dunia imepigwa upofu wetu wanaingiza au kuingizwa popote penye uwazi iwe kwa mwanamme au mwanamke. Yeyote anaweza kuoa au kuolewa na yeyote kwa sababu tumesema wote ni sawa na kuwafundisha jamii nzima hivyo.

Shetani ameumbwa akiwa na tabia zote zinazofanana sana na mwanamke. Wanazuoni wanasema mwanamke ameumbwa kwa ladha ya sheitwani. Hata apewe nini kamwe hawezi kuridhika. Atapenda kutukuzwa na kusifiwa na ukimpinga utakua adui mkubwa sana ni hulka aliyoumbiwa. Atatamani kila kizuri kiwe chake na familia yake .

Bora pawe na Kijitabu kinachoitwa Katiba kinachoweza angalau kumdhibiti kidogo mwanamke kuweka pembeni wanawake wake.
Sasa mbona kuna Rais wa Zanzibar alioa Mkristo? 🐼
 
Anawewza kuzungumza cho chotde kwa imani yake lakini siyo Uislam. Uislam mwongozo wetu ni Qur'an siyo Sheikh.
I bet you can read and understand English.
لقَدْ نَفَعَنِي اللَّهُ بكَلِمَةٍ سَمِعْتُها مِن رَسولِ اللَّهِ صلَّىاللهُ عليه وسلَّمَ أيَّامَ الجَمَلِ، بَعْدَما كِدْتُ أنْ ألْحَقَبأَصْحابِ الجَمَلِ فَأُقاتِلَ معهُمْ؛ قالَ: لَمَّا بَلَغَ رَسولَاللَّهِ صلَّى اللهُ عليه وسلَّمَ أنَّ أهْلَ فارِسَ قدْ مَلَّكُوا عليهمبنْتَ كِسْرَى، قالَ: لَنْ يُفْلِحَ قَوْمٌ ولَّوْا أمْرَهُمُ امْرَأَةً.
Abu Bakrah relates: 'During the times of [the battle of] al-Jamal,Allah benefited me with words I heard from the Messenger of Allah ﷺ:when the Prophet ﷺ heard the news that the people of Persia had madethe daughter of Khosrau their queen (ruler), he said: 'Never will apeople succeed who give their leadership to a woman.' (Al-Bukhari4425)
 
Leo asubuhi kwenye dalala wanaume tena wa kiislam wakaanza kuongelea uchaguzi wa Marekani, wakasema marekani haiwezi kumpa rais mwanamke kwasababu mwanamke ni dhaifu pia kwa hali ya sasa marekani inakabiliana na vita nyingi hivyo inatakiwa mwanaume tena mafia. Wakaendelea kusema kua rais hapaswi kua mwanamke sasa huku nchi zetu zinazoendelea ndio kabisa mkiongozwa na mwanamke mtachezewa weee
Umetaja waislam japo huna uhakika kam kweli waislam. Lkn any wakiristo kutawaliwa na mwanamke ktk biblia ni kosa?
 
Back
Top Bottom