FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mtakuja na kila porojo. Sasa huo si ujinga wa kuwadanganya kondoo? Waandamane UK ambako ushoga rukhsa?Waislam wa UK wameandamana wanataka Ushoga, hatari na nusu 🐼
Unanchekesha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakuja na kila porojo. Sasa huo si ujinga wa kuwadanganya kondoo? Waandamane UK ambako ushoga rukhsa?Waislam wa UK wameandamana wanataka Ushoga, hatari na nusu 🐼
Quran inayo Aya ya Bikira Maria Kabisa na wanafuata mafundisho na Uongozi wakeSijui mnabishani nini hasa ila kwa kutokuwahi kuwepo na mtume wala nabii mwanamke ingetosha kuacha kubishana.
Subhanallah Waangalizi maana yake ni Walinzi??Sasa hiyo aya imekataza wapi mwanamke kuongoza? Hiyo ndiyo imempoa mwanamke utukufu, wanaume hapo ni waangalizi (walinzi) tu wetu.
msitake kupindisha maana za aya kwa ujinga wenu tu. Haiendi hivyo.
Hata "nature" hamuoni?
Ahsante kwa kutobisha!Mtakuja na kila porojo. Sasa huo si ujinga wa kuwadanganya kondoo? Waandamane UK ambako ushoga rukhsa?
Unanchekesha.
Sasa Tanzania ni nchi ya waislamu!? Vipi wakristo/wapagani tunaona mwanamke utuongoza ni sahihi!?Mimi mwenyew imani yangu ni Islam na hivyo ndivyo nilivyofundishwa kuwa mwanamke anaweza kuwa kiongizi ila sio ngazi ya juu kabisa labda itokee hakuna mwanaume hata mmoja mwenye sifa za kuongoza.
Nimekuwa nafatilia kwa miaka mingi maoni ya huyo mama naisi kabisa ana Uzanzibar na Uzanzibara mwingi sana hadi wakati mwingine anaonesha chuki za wazi.
Hizo ni stories ambazo Quran ili desa kwenye vitabu vya watu wa kale. Hiyo mistari niliyoweka umeielewa?je ina shaka?maana unaji contradict. Kiingereza una kielewa?SS soma Qur'an uon Malkia wa Sheba alivyosifiwa.
Halafu uamuwe, niifate Qur'an, isiyo na shaka ndani yake, au porojo za watu?
Sasa ushoga hadi uandamane ili iweje mbona mashoga wapo toka enzi hizo hadi leo sasa huko kuandamana wanataka nini?Waislam wa UK wameandamana wanataka Ushoga, hatari na nusu 🐼
Nasikitika huu ujinga wa Feminism umewaingia hadi Wanawake wa kiislamu!!Sasa hiyo aya imekataza wapi mwanamke kuongoza? Hiyo ndiyo imempoa mwanamke utukufu, wanaume hapo ni waangalizi (walinzi) tu wetu.
msitake kupindisha maana za aya kwa ujinga wenu tu. Haiendi hivyo.
Hata "nature" hamuoni?
Si amechaguwa neno la Kiswahili, mimi nimetafsiri la Kiarabu "qawamunna" ambalo halina tafsiri ya moja kwa moja kwa Kiswahili, linaweza kuwa msimamizi. mlinzi, bodyguard. mwezeshaji. Lakini halipo kisiasa wala kicheo.Subhanallah Waangalizi maana yake ni Walinzi??
Embu kaagalie maana ya قومون
Ndio nini sasa sijakuelewa? Hebu eleze vizuri mkuu nielewe hoja yako.Quran inayo Aya ya Bikira Maria Kabisa na wanafuata mafundisho na Uongozi wake
Mtakuja na kila porojo. Sasa huo si ujinga wa kuwadanganya kondoo? Waandamane UK ambako ushoga rukhsa?
Unanchekesha.
ujajibu maswali hapo, usicheze na maneno. Yamekuwa magumu kwako? Au ni wale wale?Ahsante kwa kutobisha!
tunaomba aya inayompa mwanamke mamlaka ya juu kabisa katika uislamHuyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Kazi kwenu waisilamu, je, mtaasi maandiko ya Mtume kwa ajili ya kupokea dinari?
Hayo aliyoyasema Shehe di msneno yake bali ni maagizo toka kwa Mtume.
Kwenu Bakwata, je, nanyi mtamuasi Mtume kwa ajili ya kupokea dinari?
قومون iliyotumika hapo imetumika kwa Maana ipi?Si amechaguwa neno la Kiswahili, mimi nimetafsiri la Kiarabu "qawamunna" ambalo halina tafsiri ya moja kwa moja kwa Kiswahili, linaweza kuwa msimamizi. mlinzi, bodyguard. mwezeshaji. Lakini halipo kisiasa wala kicheo.
Wewe si Mkristo.hata sisi kwenye Maandiko Matakatifu (Biblia) haijawahi kumruhusu mwanamke akawa mfalme. Mwanamke haruhusiwi kumuongoza na kumtawala mwanaume. Ni uasi! tena mkubwa sana.
Hakuna tatizo wala shaka hapo. Wala hakuna uongozi wala siasa hapo.قومون iliyotumika hapo imetumika kwa Maana ipi?
Zingatia maneno ya mbele yake.
"kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa"