johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Surat Maryamtunaomba aya inayompa mwanamke mamlaka ya juu kabisa katika uislam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Surat Maryamtunaomba aya inayompa mwanamke mamlaka ya juu kabisa katika uislam
Shekhe Mkuu ni Mwanamke hata Mimi nimekubariBakwata ina Viongozi Wengi tu Wanawake
Akina Shamimu, Zaitun, Mwantumu nk wako Kamati ya Maamuzi ya Waislam wa TanzaniaShekhe Mkuu ni Mwanamke hata Mimi nimekubari
Uchawa pro MaxSikuhizi ukisema ukweli unaitwa mchochezi 😅.
Hii sijui inaitwaje kitaalamu
Ushoga huo. Na Muddy alimnyonya ulimi mtoto wa dada yake. Ni ushoga tu huo hamna kitu kingine.
يا مريم قنوطي لربك واسجدي واركعي مع الراكعينNiambie wapi kwenye hio Quran wamekuelekeza namna ya kusali?..
Hadith ikiwaumbua mnakimbilia Quran
Ushoga huo. Na Muddy alimnyonya ulimi mtoto wa dada yake. Ni ushoga tu huo hamna kitu kingine.
Ushoga uruhusiwe makanisani uwasingizie wengine?Ushoga huo. Na Muddy alimnyonya ulimi mtoto wa dada yake. Ni ushoga tu huo hamna kitu kingine.
Ngoja tuwasikie Wanachuoni wanasemaje. Maana ya aya hiyo.Hakuna tatizo wala shaka hapo. Wala hakuna uongozi wala siasa hapo.
Kiislam mwanamme akiowana na mwanamke ni wajibu wake kumlisha na kumvisha mkewe na wanawe.
Takhbiiiiiiiirrrrr!!!Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.
Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.
FaizaFoxy
View attachment 3145792
Hakuna uongozi wala siasa hapo.Ngoja tuwasikie Wanachuoni wanasemaje. Maana ya aya hiyo.
Allaah (Ta´ala) amesema:*
الرِّجَالُ قَوَّامُونَ عَلَى النِّسَاءِ بِمَا فَضَّلَ اللَّـهُ بَعْضَهُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ وَبِمَا أَنفَقُوا مِنْ أَمْوَالِهِمْ
“Wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake kwa kuwa Allaah amefadhilisha baadhi yao kuliko wengine na kwa sababu ya [matumizi] wanayotoa katika mali zao.”[1]
🎙️Ibn Kathiyr amesema:
“Bi maana mwanamme ni msimamizi wa mwanamke. Kwa maana nyingine yeye ndiye kiongozi wake, mkubwa wake, mwenye kumuhukumu na mwenye kumuadabisha anapokengeuka.”[2]
🎙️as-Sa´diy amesema:
وَبِمَا أَنفَقُوا مِنْ أَمْوَالِهِمْ
“… na kwa sababu ya [matumizi] wanayotoa katika mali zao.”
☑️ Bi maana kwa sababu ya ubora wa wanamme kwa wanawake na kufadhilishwa kwao juu yao. Mwanamme kufanywa kuwa bora juu ya mwanamke ni kwa sampuli nyingi; uongozi umefanywa ni kitu maalum kwa wanamme, unabii na utume.
☑️ Vilevile wamefanywa maalum kwa ´ibaadah nyingi; Jihaad, idi na swalah ya ijumaa. Yako mengine ambayo Allaah amewafanya kupwekeka nayo kama vile akili, subira na ustahamilivu ambao haupatikani kwa wanawake. Vivyo hivyo wamepwekeshwa kuwasimamia wanawake kwa matumizi. Bali kuna matumizi mengi ambayo wamepwekeka nayo wanamme na wanatofautiana kutokana na wanawake. Na pengine hiyo ikawa ndio siri ilioko nyuma ya maneno Yake:

☑️ inayofahamisha matumizi aina yote. Kwa hiyo hayo yote yakajulisha ya kwamba mwanamme ni kama mtawala na kiongozi kwa mke wake. Mwanamke ukimlinganisha na mume ni kama mtumwa wake. Kazi ya mume ni kusimamia kile ambacho Allaah amempa kukisimamia na kazi ya mke ni kusimamia kazi ya kumtii Mola Wake na kumtii mume wake.”[3]
🎙️al-Qaasimiy amesema:
الرِّجَالُ قَوَّامُونَ عَلَى النِّسَاءِ
“Wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake.”
☑️ Wingi wa usimamizi. Ni yule ambaye anasimamia manufaa, uendeshaji na kuadabisha. Kwa maana nyingine ni kwamba wamesalitishwa kuwaadabisha wanawake na kuwasimamia hali ya kuwaamrisha na kuwakataza. Ni kama mtawala anavowasimamia wananchi wake. Hilo ni kutokana na mambo mawili:
1 – Kuna ambalo wametunukiwa.
2 – Kuna ambalo wamechuma.
Ameashiria hilo la kwanza pale aliposema (Subhaanah):
بِمَا فَضَّلَ اللَّـهُ بَعْضَهُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ
“Kwa kuwa Allaah amefadhilisha baadhi yao kuliko wengine.”
☑️ Dhamira inarudi kwa wanaume na wanawake wote wawili. Kwa msemo mwingine ni kwamba wanamme wamekuwa wenye kuwatawala wanawake kwa sababu ya Allaah kuwafadhilisha baadhi – nao ni wanamme – juu ya wengine – nao ni wanawake. Ameashiria hilo la pili pale aliposema (Subhaanah):

na katika mahari na matumizi wanayotoa.”[4]
📨
[1] 04:34
[2] Tafsiyr-ul-Qur-aan al-´Adhwiym (01/194).
[3] Taysiyr-ul-Kariym ar-Rahmaan (01/344).
[4] Mahaasin-ut-Ta´wiyl (05/130) kwa kifupi.
📚 Swifaat-uz-Zawjah as-Swaalihah, uk. 04-07
Wabhillah TawfiqNgoja tuwasikie Wanachuoni wanasemaje. Maana ya aya hiyo.

Yeye mwenyewe anasemaje kulingana na kauli ya kiongozi wake wa imaniBado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.
Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.
FaizaFoxy
View attachment 3145792
Ibnu Kathiyr anasema ni uongozi bali kuadabisha wewe unasema hakuna uongozi inasikitisha.Hakuna uongozi wala siasa hapo.
Kibibi Leo kakutana nao 🐼Ngoja tuwasikie Wanachuoni wanasemaje. Maana ya aya hiyo.
Allaah (Ta´ala) amesema:*
الرِّجَالُ قَوَّامُونَ عَلَى النِّسَاءِ بِمَا فَضَّلَ اللَّـهُ بَعْضَهُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ وَبِمَا أَنفَقُوا مِنْ أَمْوَالِهِمْ
“Wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake kwa kuwa Allaah amefadhilisha baadhi yao kuliko wengine na kwa sababu ya [matumizi] wanayotoa katika mali zao.”[1]
🎙️Ibn Kathiyr amesema:
“Bi maana mwanamme ni msimamizi wa mwanamke. Kwa maana nyingine yeye ndiye kiongozi wake, mkubwa wake, mwenye kumuhukumu na mwenye kumuadabisha anapokengeuka.”[2]
🎙️as-Sa´diy amesema:
وَبِمَا أَنفَقُوا مِنْ أَمْوَالِهِمْ
“… na kwa sababu ya [matumizi] wanayotoa katika mali zao.”
☑️ Bi maana kwa sababu ya ubora wa wanamme kwa wanawake na kufadhilishwa kwao juu yao. Mwanamme kufanywa kuwa bora juu ya mwanamke ni kwa sampuli nyingi; uongozi umefanywa ni kitu maalum kwa wanamme, unabii na utume.
☑️ Vilevile wamefanywa maalum kwa ´ibaadah nyingi; Jihaad, idi na swalah ya ijumaa. Yako mengine ambayo Allaah amewafanya kupwekeka nayo kama vile akili, subira na ustahamilivu ambao haupatikani kwa wanawake. Vivyo hivyo wamepwekeshwa kuwasimamia wanawake kwa matumizi. Bali kuna matumizi mengi ambayo wamepwekeka nayo wanamme na wanatofautiana kutokana na wanawake. Na pengine hiyo ikawa ndio siri ilioko nyuma ya maneno Yake:
وَبِمَا أَنفَقُوا مِنْ أَمْوَالِهِمْ
“… na kwa sababu ya [matumizi] wanayotoa katika mali zao.”
☑️ inayofahamisha matumizi aina yote. Kwa hiyo hayo yote yakajulisha ya kwamba mwanamme ni kama mtawala na kiongozi kwa mke wake. Mwanamke ukimlinganisha na mume ni kama mtumwa wake. Kazi ya mume ni kusimamia kile ambacho Allaah amempa kukisimamia na kazi ya mke ni kusimamia kazi ya kumtii Mola Wake na kumtii mume wake.”[3]
🎙️al-Qaasimiy amesema:
الرِّجَالُ قَوَّامُونَ عَلَى النِّسَاءِ
“Wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake.”
☑️ Wingi wa usimamizi. Ni yule ambaye anasimamia manufaa, uendeshaji na kuadabisha. Kwa maana nyingine ni kwamba wamesalitishwa kuwaadabisha wanawake na kuwasimamia hali ya kuwaamrisha na kuwakataza. Ni kama mtawala anavowasimamia wananchi wake. Hilo ni kutokana na mambo mawili:
1 – Kuna ambalo wametunukiwa.
2 – Kuna ambalo wamechuma.
Ameashiria hilo la kwanza pale aliposema (Subhaanah):
بِمَا فَضَّلَ اللَّـهُ بَعْضَهُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ
“Kwa kuwa Allaah amefadhilisha baadhi yao kuliko wengine.”
☑️ Dhamira inarudi kwa wanaume na wanawake wote wawili. Kwa msemo mwingine ni kwamba wanamme wamekuwa wenye kuwatawala wanawake kwa sababu ya Allaah kuwafadhilisha baadhi – nao ni wanamme – juu ya wengine – nao ni wanawake. Ameashiria hilo la pili pale aliposema (Subhaanah):
وَبِمَا أَنفَقُوا مِنْ أَمْوَالِهِمْ
“… na kwa sababu ya [matumizi] wanayotoa katika mali zao.”
na katika mahari na matumizi wanayotoa.”[4]
📨
[1] 04:34
[2] Tafsiyr-ul-Qur-aan al-´Adhwiym (01/194).
[3] Taysiyr-ul-Kariym ar-Rahmaan (01/344).
[4] Mahaasin-ut-Ta´wiyl (05/130) kwa kifupi.
📚 Swifaat-uz-Zawjah as-Swaalihah, uk. 04-07
Hawa wakisema lazima wafuatwe?? Huoni kama nao ni binadaamu kama wewe hivyo watakuwa na mitazamo yao?? Je, hujui kuwa wao wenyewe kwa wenyewe huwa wanatofautiana?? Unahisi ni kwa nini??Wanazuoni wanasema
Hapa yupo mama yako aliyekubeba tumboni mwake, au ulijazaa mwenyewe?? Je, kama ulikaa tumboni kwa mwenye ladha ya ushetani wewe utakuwa nani??mwanamke ameumbwa kwa ladha ya sheitwani