Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Hapa pana mtazamo tofauti kwa maulamaa. Wapo wanaosema nchi ikiongozwa na mfumo wa kiislamu mwanamke hafai kuongoza. Nchi ikiongozwa na mifumo iloofeli kama ya ulaya mwanamke sio kosa
Kwa nchi iliyofeli kama Tanganyika ni sawa ili tuendelee kuzama kabisa
 
W
hakuna zaidi ya porojo tu ha[po.

Waislam mwongozo wegtu ni Qur'an, siyo porojo za mtu.

Labda nikupe ddarsa kidogo:
Chochote ambacho hakijaharamishwa na mwenyezi Mungu ni halali Kiislam.

Usisahau hilo.
Eee tuambie ostadh mana wewe ndo mtumishi mwenyewe
 
Tupo wengi sana, kupita mfano. Hata mama'ko ni Khalifa (t) au alikuamrisha weqe ufanye maovu uwache mema?

Labda huelewi maana ya neno Khalifa (t). Kila binadam mwenye kukataza maovu na kuamrisha mema ni Khalifa (t).

Kafanye homework yako urudi tena na jingine. Uislam ni mwema sana.
Mbona Unapindisha Mambo.

Sijui vizuri wewe ni nani ila ni kama vile muislamu mwanamke.

Nasikitika kuwa Wewe Unabidi kukataa sheria ya kiislamu kisa imegusa Mwanamke katika hizi zama za haki sawa.

Hiyo hadith ipo na ndio ukweli sisi waislamu hatuna budi kukubali hukumu za Allah hata kama zitatuumiza(Kulingana na mazingira).

Pili khalifa sio kila kiongozi hiyo sio maana ya khalifa labda ungesema Amir ama Mudir.
 
Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.

Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.

FaizaFoxy

View attachment 3145792
Huyu kwa sasa ndie shehe mkuu wa mkoa wa dar
 
Mbona Unapindisha Mambo.

Sijui vizuri wewe ni nani ila ni kama vile muislamu mwanamke.

Nasikitika kuwa Wewe Unabidi kukataa sheria ya kiislamu kisa imegusa Mwanamke katika hizi zama za haki sawa.

Hiyo hadith ipo na ndio ukweli sisi waislamu hatuna budi kukubali hukumu za Allah hata kama zitatuumiza(Kulingana na mazingira).

Pili khalifa sio kila kiongozi hiyo sio maana ya khalifa labda ungesema Amir ama Mudir.
Qur'an :67. Wanaume wanaafiki na wanawake wanaafiki, wote ni hali moja. Huamrisha maovu na huyakataza mema, na huifumba mikono yao. Wamemsahau Mwenyezi Mungu, basi na Yeye pia amewasahau. Hakika wanaafiki ndio wapotofu. 67

Unataka nifate porojo za watu badala ya Qur'an?
 
Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.

Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.

FaizaFoxy

View attachment 3145792
Kuna Kitu kinaitwa dharura..tulie nae ni kwa mujibu WA Sheria..
 
Qur'an :67. Wanaume wanaafiki na wanawake wanaafiki, wote ni hali moja. Huamrisha maovu na huyakataza mema, na huifumba mikono yao. Wamemsahau Mwenyezi Mungu, basi na Yeye pia amewasahau. Hakika wanaafiki ndio wapotofu. 67

Unataka nifate porojo za watu badala ya Qur'an?
{ ٱلرِّجَالُ قَوَّٰمُونَ عَلَى ٱلنِّسَآءِ بِمَا فَضَّلَ ٱللَّهُ بَعۡضَهُمۡ عَلَىٰ بَعۡضٖ وَبِمَآ أَنفَقُواْ مِنۡ أَمۡوَٰلِهِمۡۚ فَٱلصَّٰلِحَٰتُ قَٰنِتَٰتٌ حَٰفِظَٰتٞ لِّلۡغَيۡبِ بِمَا حَفِظَ ٱللَّهُۚ وَٱلَّٰتِي تَخَافُونَ نُشُوزَهُنَّ فَعِظُوهُنَّ وَٱهۡجُرُوهُنَّ فِي ٱلۡمَضَاجِعِ وَٱضۡرِبُوهُنَّۖ فَإِنۡ أَطَعۡنَكُمۡ فَلَا تَبۡغُواْ عَلَيۡهِنَّ سَبِيلًاۗ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ عَلِيّٗا كَبِيرٗا }
[Surah An-Nisāʾ: 34]

Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.
 
Husikii amequote quran?

Wewe bibi inabidi upate rijali kama baltazar akukaze kwelikweli hadi akili zikurudie
hajaqupte Qur'an, kaongea Kiarabu tu, ala hajasema alichoki quote.

Hayo mengine sikushangai, ikiwa makanisani mnaruhusiwa ushoga mtaacha kuongea hovyo?

Rudi kwa Muumba wako kiza cha moyo kikuondoke.
 
{ ٱلرِّجَالُ قَوَّٰمُونَ عَلَى ٱلنِّسَآءِ بِمَا فَضَّلَ ٱللَّهُ بَعۡضَهُمۡ عَلَىٰ بَعۡضٖ وَبِمَآ أَنفَقُواْ مِنۡ أَمۡوَٰلِهِمۡۚ فَٱلصَّٰلِحَٰتُ قَٰنِتَٰتٌ حَٰفِظَٰتٞ لِّلۡغَيۡبِ بِمَا حَفِظَ ٱللَّهُۚ وَٱلَّٰتِي تَخَافُونَ نُشُوزَهُنَّ فَعِظُوهُنَّ وَٱهۡجُرُوهُنَّ فِي ٱلۡمَضَاجِعِ وَٱضۡرِبُوهُنَّۖ فَإِنۡ أَطَعۡنَكُمۡ فَلَا تَبۡغُواْ عَلَيۡهِنَّ سَبِيلًاۗ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ عَلِيّٗا كَبِيرٗا }
[Surah An-Nisāʾ: 34]

Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.
Sasa hiyo aya imekataza wapi mwanamke kuongoza? Hiyo ndiyo imempoa mwanamke utukufu, wanaume hapo ni waangalizi (walinzi) tu wetu.

msitake kupindisha maana za aya kwa ujinga wenu tu. Haiendi hivyo.

Hata "nature" hamuoni?
 
hjaqupte Qur'an, kaongea Kiarabu tu, ala hajasema alicho ki quote.

Hayo mengine sikushangai, ikiwa makanisani mnaruhusiwa ushoga mtaacha kuongea hovyo?

Rudi kwa Muumba wako kiza cha moyo kikuondoke.
Waislam wa UK wameandamana wanataka Ushoga, hatari na nusu 🐼
 
Qur'an :67. Wanaume wanaafiki na wanawake wanaafiki, wote ni hali moja. Huamrisha maovu na huyakataza mema, na huifumba mikono yao. Wamemsahau Mwenyezi Mungu, basi na Yeye pia amewasahau. Hakika wanaafiki ndio wapotofu. 67

Unataka nifate porojo za watu badala ya Qur'an?
Screenshot_20241107-111831_1.jpg
 
Qur'an :67. Wanaume wanaafiki na wanawake wanaafiki, wote ni hali moja. Huamrisha maovu na huyakataza mema, na huifumba mikono yao. Wamemsahau Mwenyezi Mungu, basi na Yeye pia amewasahau. Hakika wanaafiki ndio wapotofu. 67

Unataka nifate porojo za watu badala ya Qur'an?
Sijui mnabishania nini hasa ila kwa kutokuwahi kuwepo na mtume wala nabii mwanamke ingetosha kuacha kubishana.
 
Sasa hiyo aya imekataza wapi mwanamke kuongoza? Hiyo ndiyo imempoa mwanamke utukufu, wanaume hapo ni waangalizi (walinzi) tu wetu.

msitake kupindisha maana za aya kwa ujinga wenu tu. Haiendi hivyo.

Hata "nature" hamuoni?
Upo sahihi Kabisa hakunaga sehemu kwenye mafundisho ya Mtume Muhammad SAW ilipokatazwa Mwanamke asiongoze
 
Back
Top Bottom