Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.

Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.

FaizaFoxy

View attachment 3145792

Masahihisho kidogo hajanukuu maandiko matakatifu (quran) amenukuu hadith(maneno ya mtume muhammad (amani iwe juu yake)) inayopatikana ndani ya sahih bukhari .pia kuna aya ya surat nisa'a kama ilivyonukuliwa

An-Nisa' 4:34

ٱلرِّجَالُ قَوَّٰمُونَ عَلَى ٱلنِّسَآءِ بِمَا فَضَّلَ ٱللَّهُ بَعْضَهُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ وَبِمَآ أَنفَقُوا۟ مِنْ أَمْوَٰلِهِمْۚ فَٱلصَّٰلِحَٰتُ قَٰنِتَٰتٌ حَٰفِظَٰتٌ لِّلْغَيْبِ بِمَا حَفِظَ ٱللَّهُۚ وَٱلَّٰتِى تَخَافُونَ نُشُوزَهُنَّ فَعِظُوهُنَّ وَٱهْجُرُوهُنَّ فِى ٱلْمَضَاجِعِ وَٱضْرِبُوهُنَّۖ فَإِنْ أَطَعْنَكُمْ فَلَا تَبْغُوا۟ عَلَيْهِنَّ سَبِيلًاۗ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ عَلِيًّا كَبِيرًا

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.
 
Zanzibaaa penyewe bila kumungunya maneno kamwe Mwanamke hawezi kuwa Rais mpaka kiyama na ufufuo utakapofika .

Na pia hakuna Taifa la Kiislam lililotawali na Mwanamke .
Hata shehe mkuu anajua na pia Dr. Samia anajua lakini ni wanaume wa Tanganyika wameamua kumuazima kutokana na katiba na maslahi binafsi kuwa mbele lakini pia kuna tatizo kubwa la kimaadili Karibu duniani kote watu hawamjali wala kumuogopa Mwenyezi Mungu.

Kiu na tamaa ya Mwanamke wa kwanza kuumbwa Duniani bado inaendelea . Mwanamke alitamani kuwa kama Mungu ili amtawale Mwanaume na kila kitu. Baada ya kushindwa na kuiingiza dunia kwenye laana na dhambi alibaki na tamaa ya kuwa sawa na mwanaume ili tu asitawaliwe na mwanaume na pole pole amtawale Mwanaume sasa dunia imeingia kwenye laana ya wanaume kuwa dhaifu na mashoga na machawa .Dunia inarudishwa kwenye utumwa wa dhambi ya ushoga ulawiti na usagaji kwa sababu ya imani ya Mwanamke na mwanaume kuwa sawa.
If A=B and B=C then A=C
Sasa dunia imepigwa upofu wetu wanaingiza au kuingizwa popote penye uwazi iwe kwa mwanamme au mwanamke. Yeyote anaweza kuoa au kuolewa na yeyote kwa sababu tumesema wote ni sawa na kuwafundisha jamii nzima hivyo.

Shetani ameumbwa akiwa na tabia zote zinazofanana sana na mwanamke. Wanazuoni wanasema mwanamke ameumbwa kwa ladha ya sheitwani. Hata apewe nini kamwe hawezi kuridhika. Atapenda kutukuzwa na kusifiwa na ukimpinga utakua adui mkubwa sana ni hulka aliyoumbiwa. Atatamani kila kizuri kiwe chake na familia yake .

Bora pawe na Kijitabu kinachoitwa Katiba kinachoweza angalau kumdhibiti kidogo mwanamke kuweka pembeni wanawake wake.

Msome mwanamke mmoja mrembo aliyewahi kuwa kiongozi wa juu sana nchini Misri aliyeitwa Cleopatra ambaye alikuwa malkia wao. Pia msome malkia wa Sheba.
 
Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.

Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.

FaizaFoxy

View attachment 3145792
Mimi sikubaliani naye moja kwa moja.Kuna wanawake wamewahi kuongoza nchi zao kwa mafanikio mkubwa.
Kwa sisi hapa,Mama yetu kashindwa kama yeye na siyo kwa sababu ni mwanamke.
 
Ukitaka ujue tatizo la Mwanamke anzia kwenye familia .
Asiwe na kazi au ana kazi kisha Mwanaume awe na mali nyingi na pesa nyingi. Mwanaume awe anampa mkewe pesa zote za kuhudumia watoto na kila kitu . Taratibu mwanamke ataanza kuwaambia watoto kuwa yeye ndio anayetoa pesa na baba yao hafanyi chochote . Atawaaminisha watoto hivyo na kuwafarakanisha na baba yao . Mwishowe anajenga jamii ya watotowasiomjali baba yao na kuona kuwa wanaume ni watu wabaya sana.
Yani mkuu hii kitu nilipata shida sana kwa mkewangu kumuondoa huu ujinga kuhusu baba yake,Maana mama yake alimjaza ujinga kiasi kwamba alikua anaona mama yake ndio kamsomesha.
Cha ajambu mama yake mwenyewe hana kazi. Wanawake ni viumbe hatari sana
 
Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.

Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.

FaizaFoxy

View attachment 3145792
Mimi sikubaliani naye moja kwa M
Kazi kwenu waisilamu, je, mtaasi maandiko ya Mtume kwa ajili ya kupokea dinari?
Hayo aliyoyasema Shehe di msneno yake bali ni maagizo toka kwa Mtume.
Kwenu Bakwata, je, nanyi mtamuasi Mtume kwa ajili ya kupokea dinari?

oja.Kuna wanawake wamewahi kuongoza nchi zao kwa mafanikio mkubwa.
Kwa sisi hapa,Mama yetu kashindwa kama yeye na siyo kwa sababu ni mwanamke.
 
Kwa sisi waislamu lazima tuzingatie maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar kwamba tumuunge mkono muislamu mwenzetu.
 
Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.

Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.

FaizaFoxy

View attachment 3145792
Kwanza kwenye Uislam hatuna mtukufu zaidi Mwenye Enzi Mungu pekee, hivyo hilo la Masheikh watukufu achana nalo.

Huyu Walid mtoto wa Bi Mwalimu kashikwa na nini? Kabla ya yote kaongea haya lini? Nahofia kusema zaidi.
 
Back
Top Bottom