Mashehe wawajibu Maaskoro na Serikali ya CCM

Mashehe wawajibu Maaskoro na Serikali ya CCM

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Posts
2,502
Reaction score
741
[h=3]HABARI KUBWA LEO.NI VITA MAASKOFU NA MASHEHE,WAISLAM WATOA MASHARTI MAZITO KWA KIKWETE,WAIRUSHIA KOMBORA BWAKWATA,SOMA HAPA KUJUA[/h]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pich ani niNaibu Katibu Mkuu Taasisi ya Kiislam nchini
Sheikh Rajab Katimba
Akuzungumza na wanahabali leo
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

NA KAROLI VINSENT
TAASISI ya dini ya Kiislam imeita serikali kuwakamata maaskofu na wachungaji ambao wanadai wametoa matamko ya kichochezi na endapo serikali ikikaidi kuwakamata, basi jumuiya hiyo itawahamaisha waamini wa dini ya kiislam popote walipo kuipigia kura ya Hapana Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba. (NB: kama anataka maaskofu wakamatwe na hapohapo yeye anatoa tamko la wazi kuwahamasisha waislam wote tz kuikataa katiba, sasa yeye anatofauti gani na hao anaotaka wakamatwe? ajabu hii).

Kauli ya taasisi hiyo yenye misimamo mikali inatokana na Tamko walilotoa muunganiko wa jumuiya ya Kikristo,ikiwemo Baraza la Maaskofu katoliki (TEC),Jumuiya ya Kikristo Tanzania(CCT),Baraza la Makanisa la kipentekoste(CPCT)ambao wote kwa pamoja waliiwataka waunini wa dini ya kikristo nchini kuipigia kura ya hapana katiba,kutokana na serikali kuruhusu mahakama ya Kadhi kisheria.
Akitoa tamko la Taasisi ya Dini ya Kiislam ambalo ni muunganiko wa taasisi ya dini hiyo zaidi ya 11 hapa nchini ,Naibu Katibu Mkuu Taasisi hiyo Sheikh Rajab Katimba wakati wa Mkutano na Vyombo mbalimbali vya Habari leo Jijini Dar es Salaam-

Ambapo Sheikh Katimba huku akiongea kwa uchungu ameitaka serikali iwachukulie hatua maaskofu hao kwa madai ya kufanya uchuchezi na kuvunja katiba ya nchi.
“Serikali iwachukulie hatua za kisheri maaskofu na wachungaji kwa kutoa matamko yakichochezi yaliyokusudia kuumiza hisia ya kidini kwa waislam kinyume cha sheria ya kanuni ya Adhabu sura ya 16 ikiwemo kuwakamata,kuwafikisha mahakamani na kuzuia dhamana kama inavyofanya kwa masheikh pindi wanapotoa kauli zinazopingana na mtazamo wa serikali lasivyo hatutaipigia kura katika iliyopendekezwa”amesema Seikh Katimba. (NB:hapa huyu shehe naona ni mfuasi wa shehe ponda, tofauti yake ni kwamba, kwani hawa maaskoro wameongoza watu kwenda kufanya fujo, kuandamana kinyume na sheria, kuvunja majengo ya watu kama pale chang'ombe au? hajaona tofauti kabisa na hajui anachoongea.

Sheikh Katimba ameongeza kuwa Serikali imetoa rushwa kwa Waislam na kwa kundi maalum kwa kukubali sheria itakayounda mahakama ya Kadhi ili kuipitisha katiba iliyopendekezwa ambapo amesema ni kuidhalilisha dini ya mwenyezi mungu ikiwemo kuwadhalilisha waislam na ni kuumiza hisia ya waislam na kuhatarisha amani na utangamano. (NB: i am glad hampendi rushwa, kataeni kabisa rushwa hiyo)

Amebainisha kuwa Serikali iendelee na Mchakato wa uundwaji mahakama ya kadhi kwa kufuata maoni yaliyotolewa mbele ya kamati ya sheria na utawala wa bunge kwa kuzingatia mambo muhimu.

Aliyataja mambo muhimu hayo ikiwemo ni serikali iache njama anazodai na hila za kuigeuza mahakama ya Kadhi inayohitajika kuwa miliki ya taasisi ya BAKWATA na MUFTI wa BAKWATA.
“Endapo serikali itaendelea na kuwasilisha muswaada wa Mahakama ya Kadhi unaoipa mamlaka Bakwata kuunda,kusimamia,kuteua makadhi nakadhalika kinyume na maoni ya Waislam wengi itakuwa imethibitisha kuwa serikali haikuwa na nia ya kweli ya kuunda na kuanzisha mahakama ya Kadhi”ameendelea kusema Sheikh Katimba. (NB: nilikuwa sijajua kuwa kumbe kuna waislam wengi tu wanaipinga hii mahakama na waokwawao wametofautiana sana.

Aidha,Sheikh katimba amesema serikali igharamie mahakama hiyo kama ambavyo anadai serikali hivi sasa inavyogharimia uendeshaji wa mashauri yaliyopo kwenye mahakama za kawaida yanayohusu sheria za kiislam ambayo mara nyingi yanaamuliwa kwa makosa.
“Na pia igharamiwe na serikali ambavyo serikali hii inavyogaramia huduma za makanisa chini ya mkataba maarufu memoradum of understanding (MOU)mkataba ambao haukuwahusisha wala kutaka ridhaa ya waislam”ameongeza kusema( NB: MOU inahusisha shule na hospitali ambazo waislam pia wanatibiwa na wanasoma, je, mahakama ya kadhi wakristo wataitumia?) hapa ndio mheshimiwa shehe amesahau kumbe waislam wamelishwa sumu na mashehe kama hawa wanaofikiri mou inawafaidisha wakristo peke yao lakini ukienda kwenye hospitali hizi watu wenye ushungi wamejaa na mashuleni waislam wamejaa.
 
Kwa sasa hio isiwe hoja ya Msingi, hoja iwe ni kuiondosha CCM madarakani. Full stop na mkiendekeza vitu kama hivi Wallah nakwambia CCM itabaki madarakani
 
Katiba mpya sio ya wakristu wala waislamu. ni ya watanzania. hayo ya kugongana watumishi wa mungu ni ukweli tu kuwa hawana mungu ndani yao.
 
10696223434903297283
 
HILO HAPO SIYO SHEHE BALI Ni Shehe Shehena La Ubwabwa Kwenye Hitima. HALINA AKILI HATA KIDOGO.
 
Serekali haina ubavu wa kuwakamata Maaskofu wa hadhi ya Mwalasusa au wa madhehebu ya Roma. Wao wanaweza kukamata maaskofu uchwara wa aina ya Kakobe na wachungaji njaa aina ya kina Mwingira and a like.
 
huu uliouandka ni uharo,mambo yasiyokuhusu unayafatilia ili iweje?mnaudh nyie
 
ala kumbe unaweza kuitisha Serikali eee !!!
 
KURA YA NDIYO ni muhimu Hawa wasitupotezee muda someni Katiba Pendekezwa kipengere cha Uhuru wa imani ya dini kinajieleza na hakihitaji marekebisho.

IBARA YA 41-(1) Kila mtu ana uhuru wa mawazo, dhamiri, imani na uchaguzi katika mambo ya imani ya dini na anao uhuru pia wa kubadilisha dini, imani yake au kutokuwa na imani na dini.

(2) Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari kwa mtu binafsi ilimradi hakiuki sheria za nchi.

(3) Shughuli ya uendeshaji wa jumuiya za dini itakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya Serikali.

(4) Hifadhi ya haki zilizotajwa katika Ibara hii itakuwa chini ya utaratibu utakaowekwa na sheria ambazo ni muhimu katika jamii ya kidemokrasia kwa ajili ya usalama, amani, maadili na umoja wa jamii na wa kitaifa na vitasimamiwa kwa utaratibu utakaoainishwa kwenye sheria za nchi.

(5) Ni marufuku kwa mtu, kikundi au taasisi ya dini kutumia uhuru wa kutangaza dini kwa namna ambayo italeta uvunjifu wa amani, kujenga chuki au kuchochea vurugu na ghasia kwa madai ya kutetea imani au dini hiyo.

(6) Dini na imani ya dini haitatumika kwa namna yoyote itakayowagawa wananchi, kuleta uhasama au uvunjifu wa amani miongoni mwa wananchi.

(7) Neno "dini" kama lilivyotumika katika Ibara hii litatafsiriwa kwamba maana yake ni pamoja na madhehebu ya dini, na maneno mengine yanayofanana au kuambatana na neno hilo nayo yatatafsiriwa kwa maana hiyo.
 
Serekali haina ubavu wa kuwakamata Maaskofu wa hadhi ya Mwalasusa au wa madhehebu ya Roma. Wao wanaweza kukamata maaskofu uchwara wa aina ya Kakobe na wachungaji njaa aina ya kina Mwingira and a like.

Acha uchonganishi kinachohitajika ni kura ya NDIYO kwa katiba pendekezwa kelele zote zitaisha maana imeweka wazi Uhuru wa imani ya dini.

IBARA YA 41.-(1) Kila mtu ana uhuru wa mawazo, dhamiri, imani na uchaguzi katika mambo ya imani ya dini na anao uhuru pia wa kubadilisha dini, imani yake au kutokuwa na imani na dini.

(2) Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari kwa mtu binafsi ilimradi hakiuki sheria za nchi.

(3) Shughuli ya uendeshaji wa jumuiya za dini itakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya Serikali.

(4) Hifadhi ya haki zilizotajwa katika Ibara hii itakuwa chini ya utaratibu utakaowekwa na sheria ambazo ni muhimu katika jamii ya kidemokrasia kwa ajili ya usalama, amani, maadili na umoja wa jamii na wa kitaifa na vitasimamiwa kwa utaratibu utakaoainishwa kwenye sheria za nchi.

(5) Ni marufuku kwa mtu, kikundi au taasisi ya dini kutumia uhuru wa kutangaza dini kwa namna ambayo italeta uvunjifu wa amani, kujenga chuki au kuchochea vurugu na ghasia kwa madai ya kutetea imani au dini hiyo.

(6) Dini na imani ya dini haitatumika kwa namna yoyote itakayowagawa wananchi, kuleta uhasama au uvunjifu wa amani miongoni mwa wananchi.

(7) Neno "dini" kama lilivyotumika katika Ibara hii litatafsiriwa kwamba maana yake ni pamoja na madhehebu ya dini, na maneno mengine yanayofanana au kuambatana na neno hilo nayo yatatafsiriwa kwa maana hiyo.

HABARI KUBWA LEO.NI VITA MAASKOFU NA MASHEHE,WAISLAM WATOA MASHARTI MAZITO KWA KIKWETE,WAIRUSHIA KOMBORA BWAKWATA,SOMA HAPA KUJUA

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Pich ani niNaibu Katibu Mkuu Taasisi ya Kiislam nchini
Sheikh Rajab Katimba
Akuzungumza na wanahabali leo
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

NA KAROLI VINSENT
TAASISI ya dini ya Kiislam imeita serikali kuwakamata maaskofu na wachungaji ambao wanadai wametoa matamko ya kichochezi na endapo serikali ikikaidi kuwakamata, basi jumuiya hiyo itawahamaisha waamini wa dini ya kiislam popote walipo kuipigia kura ya Hapana Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba. (NB: kama anataka maaskofu wakamatwe na hapohapo yeye anatoa tamko la wazi kuwahamasisha waislam wote tz kuikataa katiba, sasa yeye anatofauti gani na hao anaotaka wakamatwe? ajabu hii).

Kauli ya taasisi hiyo yenye misimamo mikali inatokana na Tamko walilotoa muunganiko wa jumuiya ya Kikristo,ikiwemo Baraza la Maaskofu katoliki (TEC),Jumuiya ya Kikristo Tanzania(CCT),Baraza la Makanisa la kipentekoste(CPCT)ambao wote kwa pamoja waliiwataka waunini wa dini ya kikristo nchini kuipigia kura ya hapana katiba,kutokana na serikali kuruhusu mahakama ya Kadhi kisheria.
Akitoa tamko la Taasisi ya Dini ya Kiislam ambalo ni muunganiko wa taasisi ya dini hiyo zaidi ya 11 hapa nchini ,Naibu Katibu Mkuu Taasisi hiyo Sheikh Rajab Katimba wakati wa Mkutano na Vyombo mbalimbali vya Habari leo Jijini Dar es Salaam-

Ambapo Sheikh Katimba huku akiongea kwa uchungu ameitaka serikali iwachukulie hatua maaskofu hao kwa madai ya kufanya uchuchezi na kuvunja katiba ya nchi.
"Serikali iwachukulie hatua za kisheri maaskofu na wachungaji kwa kutoa matamko yakichochezi yaliyokusudia kuumiza hisia ya kidini kwa waislam kinyume cha sheria ya kanuni ya Adhabu sura ya 16 ikiwemo kuwakamata,kuwafikisha mahakamani na kuzuia dhamana kama inavyofanya kwa masheikh pindi wanapotoa kauli zinazopingana na mtazamo wa serikali lasivyo hatutaipigia kura katika iliyopendekezwa"amesema Seikh Katimba. (NB:hapa huyu shehe naona ni mfuasi wa shehe ponda, tofauti yake ni kwamba, kwani hawa maaskoro wameongoza watu kwenda kufanya fujo, kuandamana kinyume na sheria, kuvunja majengo ya watu kama pale chang'ombe au? hajaona tofauti kabisa na hajui anachoongea.

Sheikh Katimba ameongeza kuwa Serikali imetoa rushwa kwa Waislam na kwa kundi maalum kwa kukubali sheria itakayounda mahakama ya Kadhi ili kuipitisha katiba iliyopendekezwa ambapo amesema ni kuidhalilisha dini ya mwenyezi mungu ikiwemo kuwadhalilisha waislam na ni kuumiza hisia ya waislam na kuhatarisha amani na utangamano. (NB: i am glad hampendi rushwa, kataeni kabisa rushwa hiyo)

Amebainisha kuwa Serikali iendelee na Mchakato wa uundwaji mahakama ya kadhi kwa kufuata maoni yaliyotolewa mbele ya kamati ya sheria na utawala wa bunge kwa kuzingatia mambo muhimu.

Aliyataja mambo muhimu hayo ikiwemo ni serikali iache njama anazodai na hila za kuigeuza mahakama ya Kadhi inayohitajika kuwa miliki ya taasisi ya BAKWATA na MUFTI wa BAKWATA.
"Endapo serikali itaendelea na kuwasilisha muswaada wa Mahakama ya Kadhi unaoipa mamlaka Bakwata kuunda,kusimamia,kuteua makadhi nakadhalika kinyume na maoni ya Waislam wengi itakuwa imethibitisha kuwa serikali haikuwa na nia ya kweli ya kuunda na kuanzisha mahakama ya Kadhi"ameendelea kusema Sheikh Katimba. (NB: nilikuwa sijajua kuwa kumbe kuna waislam wengi tu wanaipinga hii mahakama na waokwawao wametofautiana sana.

Aidha,Sheikh katimba amesema serikali igharamie mahakama hiyo kama ambavyo anadai serikali hivi sasa inavyogharimia uendeshaji wa mashauri yaliyopo kwenye mahakama za kawaida yanayohusu sheria za kiislam ambayo mara nyingi yanaamuliwa kwa makosa.
"Na pia igharamiwe na serikali ambavyo serikali hii inavyogaramia huduma za makanisa chini ya mkataba maarufu memoradum of understanding (MOU)mkataba ambao haukuwahusisha wala kutaka ridhaa ya waislam"ameongeza kusema( NB: MOU inahusisha shule na hospitali ambazo waislam pia wanatibiwa na wanasoma, je, mahakama ya kadhi wakristo wataitumia?) hapa ndio mheshimiwa shehe amesahau kumbe waislam wamelishwa sumu na mashehe kama hawa wanaofikiri mou inawafaidisha wakristo peke yao lakini ukienda kwenye hospitali hizi watu wenye ushungi wamejaa na mashuleni waislam wamejaa.

mbwembwe tu hizo, anayeipinga hii Ktaiba huyo sio mzalendo, sa wanahitaji Katiba ipi mbali na hii iliyoshehenu mambo lukuki?
 
maaskofu wakanamatwe huyu shekh naamini atakuwa gaidi nichochezi
 
Teh teh teh MPWA ushajiunga na safari ya mabadiliko? ha ha ha angalia tu usijeachwa njia panda...
Hahhahahahahaa subutuuuu mimi nijiunge na hilo genge la Walevi? niliipost hapo MPWA baada ya kuona JF inaipa Promo
 
Hahhahahahahaa subutuuuu mimi nijiunge na hilo genge la Walevi? niliipost hapo MPWA baada ya kuona JF inaipa Promo

Ningekushangaa Sana kuacha kuamini ktk itikadi na Sera na kukimbilia kuamini wapuuzi na wakora...
 
Kumbe siyo waislamu wote wanataka mahakama za kadhi .mimi kura yangu HAPANA katiba pendekezwa.
 
Back
Top Bottom