Masheikh 4 na wanafunzi 95 wakamatwa kwa ugaidi

Masheikh 4 na wanafunzi 95 wakamatwa kwa ugaidi

Usijataje wadhifa au nafasi ya mtuhumiwa! Hawa ni watuhumiwa sawa na watuhumiwa wengine tu! Haijalishi kama ni mashehe au maaskofu!

Kama ni wahalifu ni wahalifu tu hata wawe maulamaa kama ni wahalifu watabaki kuitwa wahalifu tu
 
Hii dini ya mnyaziMungu na ugaidi ni km uji na mgonjwa!
 
Back
Top Bottom