Hepatis B
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 222
- 206
Masheikh kiukweli mnaona mnaitetea Serikali na mnaamini hili likipita serikali itawalipa shukrani. Ukweli ni kwamba mmewaweka waislam mahali pagumu sana.
Imani yetu kwenu inapotea kila kukicha. Naamini sasa mbingu ni kujipigania mwenyewe hamna sheikh anaweza kukuongoza kuiona mbingu wengi wapo kwaajili ya matumbo yao na miili yao maana hata familia zao ni kichekesho.