Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Sio tu masheikh wa uamsho ambao walikamatwa na SMZ na kuletwa Tanganyika kuendelea na mashitaka yao ya ugaidi lakini Serikali ya awamu ya tano ilivyoingia madarakani kesi zote zikasimamishwa na hakuna tena kupelekwa mahakamani isipokua ni mateso ya hali ya juu ambayo huwezi kuamini ukiambiwa.
Hakuna mtu anataka kuishi na wahalifu mtaani haswa magaidi... Lakini mahakama Ndio taasisi yenye mamlaka ya kutia watu hatiani na kutoa hukumu.
Lakini katika awamu hii ya tano tumeshuhudia karibu kila Mkoa kuna marundo ya masheikh na viongozi wa kiislamu jela kwa tuhuma za ugaidi.
Swali la kujiuliza hivi Tanzania tumepata mashambuliziangapi ya ugaidi?
Hivi kweli mikoa yote hii hao viongozi wengi wao wakiwa ni wazee ni magaidi?
Kulikoni hawapelekwi mahakamani?
Almarhum Maalim Seif na Hussein Mwinyi walifunga safari hadi chato kumuangukia mtu mmoja kuhusu masheikh sio kuachiwa Bali kupelekwa mahakamani ili wapate haki yao lakini kwa macho makavu amekataa.
Hivi kweli nchi hii itaongozwa na mtu mmoja mwenye chuki binafsi na watu wenye imani tofauti na yeye Hivi Hivi bila majuto?
Kweli uislamu na ukristo ni dini zilizoletwa na wazungu na waarabu hapa kwetu na kila mtu ana haki ya kufuata au kutifuata dini yeyote lakini awamu hii kua muislamu Tanzania ni kama vile kua muovu, kwanini?