[Kamanda, hujui usemalo. Hawa ni Uamsho, magaidi wa kimataifa. Kwanza, walifungwa na Rais Kikwete, Islamu, siyo Magufuli. Walikamatwa na Rais Karume, Islam, siyo Kikwete. Pili, magaidi ni magaidi, mahakama yao huwa ni tofauti. Kuna Uamsho wa Pemba alihusika kulipua ubalozi wa Marekani pale Kinondoni mwaka ule, hadi leo yuko jela Guantanamo hajapelekwa mahakamani na Obama, Islam.
Kiongozi wao Usama bin Laden hakupelekwa mahakamani pia, ndiye amgekuwa shahidi wa kwanza. Tatu, ugaidi ni jambo la kimataifa, jambo la Muungano. Kuletwa Tanganyika kushitakiwa ni sawa kwa sababu polisi na makada wa CCM waliochinjwa mashimoni tanga na stakisheri police station ukonga, na baadaye kibitilindi ni raia wa Tanganyika, ni sawa kushitakiwa tanganyika.
Unaulizwa tumelipuliwa mara ngapi? Hilo ndiyo jibu lako, lizingatie. Tangu bin Laden alipouliwa na Obama, Islam, Marekani nao pia hawajalipuliwa. Ukiwaachia masheikh wako tutalipuliwa tena. Futa dhana ya dini, Mungu si gaidi.