K kalonji JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,300 Reaction score 8,152 Mar 17, 2021 #61 mFuKuZa nDoTo said: Walikamatwa na Mkapa? Click to expand... Kukamatwa sio ttzo ttzo ni mwenye madaraka
mFuKuZa nDoTo said: Walikamatwa na Mkapa? Click to expand... Kukamatwa sio ttzo ttzo ni mwenye madaraka
B BIGGAG JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 611 Reaction score 738 Mar 17, 2021 #62 Hapo kwenye heading, hata ndani ya body weka 'magaidi' Kila penye neno 'mashekhe'. The rejea ulichoandika. Na pia jibidishe kutafuta zile recording s za uchochezi.
Hapo kwenye heading, hata ndani ya body weka 'magaidi' Kila penye neno 'mashekhe'. The rejea ulichoandika. Na pia jibidishe kutafuta zile recording s za uchochezi.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Mar 17, 2021 #63 Wengi wamebambikiwa kesi
mFuKuZa nDoTo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2021 Posts 492 Reaction score 639 Mar 17, 2021 #64 kalonji said: Kukamatwa sio ttzo ttzo ni mwenye madaraka Click to expand... Sasa Mkapa ulimtaja vipi wakati sio aliyewakamata wala hayuko/hakuwa madarakani
kalonji said: Kukamatwa sio ttzo ttzo ni mwenye madaraka Click to expand... Sasa Mkapa ulimtaja vipi wakati sio aliyewakamata wala hayuko/hakuwa madarakani
mFuKuZa nDoTo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2021 Posts 492 Reaction score 639 Mar 17, 2021 #65 Kunguru wa Manzese said: Wengi wamebambikiwa kesi Click to expand... Kama unazungumzia masheikh hakuna asiyejua kesi zao
Kunguru wa Manzese said: Wengi wamebambikiwa kesi Click to expand... Kama unazungumzia masheikh hakuna asiyejua kesi zao
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Mar 17, 2021 #66 Mashekhe mlioko gerezani endelezeni kupiga uradi huku uraiani mwamba amezungukwa na mitungi ya oksijeni
Mashekhe mlioko gerezani endelezeni kupiga uradi huku uraiani mwamba amezungukwa na mitungi ya oksijeni
N Nndu wa Selote JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 733 Reaction score 520 Mar 17, 2021 #67 Bujibuji said: No comment, tumekatazwa Hadi ku like posts Click to expand... Na pia usicomment ! Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Bujibuji said: No comment, tumekatazwa Hadi ku like posts Click to expand... Na pia usicomment ! Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 21,952 Reaction score 43,265 Mar 17, 2021 #68 imhotep said: Mashekhe mlioko gerezani endelezeni kupiga uradi huku uraiani mwamba amezungukwa na mitungi ya oksijeni Click to expand... Nakwambia wale hata sio Ishu ya Magu tena mzee wa watu hausiki yani...!! Jk mwenzao aliamua wasote achaa wapambane tu.. Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
imhotep said: Mashekhe mlioko gerezani endelezeni kupiga uradi huku uraiani mwamba amezungukwa na mitungi ya oksijeni Click to expand... Nakwambia wale hata sio Ishu ya Magu tena mzee wa watu hausiki yani...!! Jk mwenzao aliamua wasote achaa wapambane tu.. Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app