avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Hawa watu vuguvugu lao limeleta athari mbaya afrika mashariki ambayo sii rahisi kuisha leo. Vuguvugu lilianzia kenya kwa akina rogo na makaburi lilikuwa na jina tofauti lakini ma engineer ni walewale , tanzania bara wakawepo akina ilunga kapungu kwa jina tofauti na visiwani wakawepo hao mabwana