Masheikh waja juu, wataka Serikali iache kuingilia masuala ya Dini nchini

Masheikh waja juu, wataka Serikali iache kuingilia masuala ya Dini nchini

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Masheikh nchini wameitaka Serikali kuacha kuingilia masuala ya dini nchini na kuitaka iheshimu ili utulivu uendelee kudumu nchini.

Wametolea mifano masuala mbalimbali mfano utolewaji wa elimu ya dini mashuleni kwa kuanzisha mitaala mipya itakayosomesha dini mashuleni.

Sheikh Pomba amesema kama Serikali inataka kuihusisha na dini basi ianzishe dini yake, lakini waislamu nchini hawajaomba msaada wowote wa kuboresha dini yao mashuleni.

 
Hawa jamaa sijui huwa wanafeli wapi?? 🤔🤔. Wanachoweza wenyewe ni makelele tu.
 
Back
Top Bottom