Masheikh wajifunze kwa Askofu Gwajima namna ya kutoa msimao wa Kiraia bila kuweka Udini

Masheikh wajifunze kwa Askofu Gwajima namna ya kutoa msimao wa Kiraia bila kuweka Udini

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Juzi niliona Clip ya Sheikh Mmoja anasema Kwa nini Viongozi wa Kikristo Wanamuandama Mama Samia tofuati na Marais waliopita ambao walikuwa wakristo.... nikacheka tu kwa namna alivyokuwa anatengeneza hoja kitoto sana, kama mtu hasiyekuwa na Elimu. Askofu Gwajima katoa hoja bila kuegemea upande wa Dini.

Masheikh nao wangekuwa wanatoa hoja bila kuweka Udini Tanzania ingekuwa mbali... Shida ya Masheikh hawawezi kutoa misimamo bila kulinganisha Dini za kikristo na Uislamu. Utasikia mbona wale wako hivi, lakini hapo kwa gwaji boy uwezi kusikia neno la kidini au lenye kuleta Udini. Jamaa kutanguliza utaifa kwanza, na sio Udini kwanza


View: https://youtu.be/U89Gm7CuGgA?si=cIAy8lKOli0iSIl5
 
Back
Top Bottom