Masheikhe kulikoni Kidongo chekundu??

Masheikhe kulikoni Kidongo chekundu??

Dungulee

Member
Joined
Oct 23, 2008
Posts
17
Reaction score
1
Wakuu nimepita sasahivi saa tisakamili mchana maeneo ya kidongochekundu nimekuta mashekhe kibao na wafuasi wao.Tetes kwa harakaharaka wanadai kuungana leo mpaka kieleweke muafaka wa OIC.Maaskofu nasikia mnataka kujibiwa na masheikhe.Je imekaaje hii jamani kunanini TZ?
 
Hao jamaa wakikutana expect tishio la uvunjifu wa amani; jazba zitatawala hapo na mtu anaweza akachapwa.
 
Back
Top Bottom