Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

Nilijua masheji derby ya kenya [emoji1787]
 
Tatizo kubwa la nchi yetu, na kwa kweli mataifa yote duniani, ambalo ni chimbuko, msingi na shina la matatizo mengine yote ni UJINGA, MARADHI na UMASKINI. Ujinga na Maradhi ni baba na mama, Umaskini ni mtoto wao mpendwa^ ~ Baba wa Taifa.
Leo nimekuelewa sana wee mbogamboga[emoji23][emoji23] kwa mtu mzito hawezi kuelewa jambo hapa. Ila umeamdika very brief. Ujinga wetu unatupelekea ujuaji sana. Vijana kujiina wajaanjaaaa...

Shkamoo ndugu yangu.
 
Kuna faida kubwa maana siku nyingine atakupigia pande yeye
Mi sihitaji kupigiwa pande na mtu yeyote, ngoma yangu naicheza mwenyewe.... halafu nnavojua huo upambe wa mashemeji wala sinaga muda nao, hata ikitokea tumeshibana ni marufuku kuleta upambe, story zihusu mambo mengine tu.
 
Wanaume hatutoi siri hovyo za michepuko ya jamaa yetu kwa shemeji mkubwa. It's our rule as men. Ukiona mtu anakupakupa dondoo za mahusiano ya Mr wako basi jua anatafuta kamseleleko kwako

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kuna tofauti kati ya mwanaume na shemeji 😁
 
Mbona hizi ni kama tabia za mawifi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…