Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
SUMU kirefu chake ni?=Sitaki ujinga,maradhi wala umaskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa kuna anko na kuna mjomba 😁Kama ilivyo tofauti ya "Anko" na "Mjomba" au?
Hapa sasa: Yupi tumheshimu zaidi kati ya anko na mjomba?Sawa sawa kuna anko na kuna mjomba 😁
Boys will be boys..
Yaani kama kuna mwanamke anafikiri rafiki wa mume wako au Ndugu yake wa kiume..
Atakuja eti kumzuia Ndugu yake asichepuke basi huyo mwanamke akapimwe akili...
Kila mwanaume ni mfalme kwenye himaya yake... Hatuelekezani namna ya kuendesha ufalme wake..mtu akiamu kuwa na michepuko 20 ni yeye...
Binafsi katika kesi sitaki kusikia ni mdada aje kwangu eti mdogo wangu au Kaka yangu au rafiki ana michepuko...hayanihusu mkishindwana achananeni Tu bila kuhusisha wengine
Shemeji kama shemeji, upambe sasa....Demu: Jamani huyu rafiki yako hata simuelewi siku hizi, nahisi ana mchepuko maana sijamzoea hivi. Shemeji hebu nambie ukweli, usinifiche.
Mimi kama mpmbe nuksi sasa: Aah shemela, wasiwasi wako tu... jamaa anakupenda sana. Mi yule dogo nimekua naye namjua nje ndani hawezi kunificha kitu na hata akinificha nitajua. We relax, itakuwa majukumu yanambana tu.
Demu: Eti eeeh...(huku akicheka cheka tu bila mpango)
Bora hata huyo anakuuliza, maana yake yeye ndio anajishughulisha kumchunguza bata...Huu uzi umenifanya nikajisikia vibaya, kuna jamaa yangu ananifanya niwe shemeji wa namna hii. Sasa nikiulizwa nisemeje? Jamaa kweli anayo ya kutosha, wife wake ni kama analiona hilo Jambo Ila hana uhakika 100%, mi nikiulizwa nisemeje?
"Shem wala usijali, jamaa anatafuta pesa hana mda na wanawake hata kidogo, maisha yenyewe haya unadhani micheps itampeleka wapi, so relax".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora hata huyo anakuuliza, maana yake yeye ndio anajishughulisha kumchunguza bata...
Kuna wale wapambe yeye hajaulizwa hajaambiwa tayari kauvaa ushemeji upambe kama wote.