Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

RAIA SAFI BWANA!!! Wacha kutuzuga hapa, jana ulikuja na hiii:

Bosi na mke wake wananishagaza sana.
Nina miezi 6 tungu niajiriwe(opr manager)kampuni hii binafsi ya Muasia.
Kila inapofika lunch time bosi huniomba nikamchukulie chakula nyumbani kwake kwa gari yake,awali nilona jambo la kawaida,baada ya kuzoeana na mkewe vituko vilianza,nikfika napewa chakula nile ndo niondoke na cha bosi! Siku moja alinilazimisha kumgono,nlipokataa akasema atamwambia bosi nlitaka kumbaka! Ikabidi niwajibike! Kitu cha ajabu zaidi kadri siku ziendavyo bosi anazidi kua karibu yangu hadi anataka niende matembezi ya usiku na mkewe ama akisafiri ananiomba nilale kwake,na leo anataka nimsindikize mkewe Nairobi! Kwakweli nashindwa nifanyaje,kazi naipenda kwani nalipwa vizuri,nalipiwa nyumba,private trans nk! Jamani nifanyaje kwani najihisi nabakwa!! Ushauri wenu nauhitaji jamani (kwa sasa nipo single ila nna girl friend nimpendae)

Leo umekuja na hii,



Inaelekea una ndoto za kutaka kulelewa wewe, ambayo si nzuri, kwa hiyo gari yako inakuwa inawekwa mafuta mara mbili mbili na watu tofauti, mara boss mara mashemeji, acha hizo kaa ufanye kazi kwa bidii ujiwezeshe sio kukurupuka huko na vindoto ndoto vyako vya kutaka kulelewa na kuja kutudanganya hapa. By the way Nairobi naona hautaenda na mke wa boss, bali utakaa huko ulipo na huyo shemeji yako dada wa mpenzi wako.
 
we huna maana na u-playboy hujaacha. endelea hivo hivo na utaona matokeo yake baadae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…