Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

RAIA SAFI BWANA!!! Wacha kutuzuga hapa, jana ulikuja na hiii:

Bosi na mke wake wananishagaza sana.
Nina miezi 6 tungu niajiriwe(opr manager)kampuni hii binafsi ya Muasia.
Kila inapofika lunch time bosi huniomba nikamchukulie chakula nyumbani kwake kwa gari yake,awali nilona jambo la kawaida,baada ya kuzoeana na mkewe vituko vilianza,nikfika napewa chakula nile ndo niondoke na cha bosi! Siku moja alinilazimisha kumgono,nlipokataa akasema atamwambia bosi nlitaka kumbaka! Ikabidi niwajibike! Kitu cha ajabu zaidi kadri siku ziendavyo bosi anazidi kua karibu yangu hadi anataka niende matembezi ya usiku na mkewe ama akisafiri ananiomba nilale kwake,na leo anataka nimsindikize mkewe Nairobi! Kwakweli nashindwa nifanyaje,kazi naipenda kwani nalipwa vizuri,nalipiwa nyumba,private trans nk! Jamani nifanyaje kwani najihisi nabakwa!! Ushauri wenu nauhitaji jamani (kwa sasa nipo single ila nna girl friend nimpendae)

Leo umekuja na hii,

32yrs ndo umuri wangu.
Kimaumbile kiungo changu cha kiume ni kidogo kiasi kile kikiwa ktk hali ya kawaida ni kama 2" hivi na katika ile hali ya kutumika ni kama 3.5" hivi
nimshukuru mungu kinafanya kazi kikamilifu.Tatizo nlilo nalo ni kwamba marafiki wengi wa girl frends nilopata kua nao hunitaka kimapenzi,na hali hii ni tangu nikwa shule sec na inaendelea hadi leo hii!! Hufikia wakati hutokea ugonvi baina yao kwani ni sheji zangu wengi wamewazunguka rafiki zao baadae siri inavunjika baada ya penzi kunoga! Bahati abayo inabidi niite mbaya wengi wao hunihonga.Sasa hivi njiona nahitaji kua na familia yangu hivyo nimeacha u-ply boy na kua na msichana m1 ili awe mke baadae. Kwa sasa tuna miezi 6.Jamani balaa imeanza tena! Dada yake ananisubua kwa vishawshi ananijazia gari yangu mafuta kila wiki na mara nyingine hupenda nitumie gari yake!!,mdogo wake huleta zawadi hadi nguo za ndani!,rafiki yake wa karibu pia yaleyale!
Hapa najiuliza haya maumbile yangu ndo sababu au kuna jingine? Ushauri wenu wana JF


Inaelekea una ndoto za kutaka kulelewa wewe, ambayo si nzuri, kwa hiyo gari yako inakuwa inawekwa mafuta mara mbili mbili na watu tofauti, mara boss mara mashemeji, acha hizo kaa ufanye kazi kwa bidii ujiwezeshe sio kukurupuka huko na vindoto ndoto vyako vya kutaka kulelewa na kuja kutudanganya hapa. By the way Nairobi naona hautaenda na mke wa boss, bali utakaa huko ulipo na huyo shemeji yako dada wa mpenzi wako.
 
we huna maana na u-playboy hujaacha. endelea hivo hivo na utaona matokeo yake baadae!
 
Back
Top Bottom