Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

Umalaya tu,mashemeji gani wasiokua na staha kwa mtarajiwa wa ndugu yao!!!km hii story ni ya kweli nakuhurumia kwa kwenda kuoa familia ya ivo wenda ikawa na huyo mkeo mtarajiwa naye anawataman watarajiwa na ndugu zake!Na ww utakua umewawekea mazingira ya kufanya wakuzoee vibaya mpaka wakutake,hawawezi kukukurupukia tu from no where,hata ww utakua macho juu juu!
 
Hao shemeji zako wapya wamejuaje juu ya kibamia?Sidhani kama huyo gf wako atakuwa amewaambia, kama amewaambia basi hafai kuwa mke maana atakuwa anatoa mambo ya ndani kabisa kwa watu wa nje. Ila mimi siamini kuwa kuwa amewaambia.

Sababu inayoweza kuwa inachangia kutakwa ni wewe kuwa mchangamfu, na mwenye ile tunaita sense of humor, unajua kuongea nao na kuwaliwaza. Kuna kitu kinawavutia zaidi katika personality yako. Sababu ya kuwa inatokea kwa mashemeji zako na wala si wasichana wengine ni kwa sababu hao ndo inakuwa umewaonesha ukaribu.

Ushauri ni kujaribu kuweka mipaka katika mahusiano yako na wao.

I challenge you, jaribu kuwa mchangamfu hivyo kwa wasichana kama watatu tofauti, wapya,ambao hawajui lolote kuhusu wewe, halafu uone kama wataonesha interest au vipi? Ila kama unaona challenge hii ni hatari usiifanye.
 
Umalaya tu,mashemeji gani wasiokua na staha kwa mtarajiwa wa ndugu yao!!!km hii story ni ya kweli nakuhurumia kwa kwenda kuoa familia ya ivo wenda ikawa na huyo mkeo mtarajiwa naye anawataman watarajiwa na ndugu zake!
sio lazima tabia za wanafamilia zifanane kwa wote.
 
sio lazima tabia za wanafamilia zifanane kwa wote.

Sawa zinaweza zicfanane but huyu jamaa atakua nae hajatulia kwan c rahic mashemeji wamtokee tu km yeye mwenyewe hajaonesha urahic wake kwa wao kuweza kumtokea!lzm kuna mazingira au viashiria alivoonesha huyu jamaa mpaka mashemeji wanapata huu ujasiri!
 
Huyu raia safi nafikiri ni miongoni mwa wale wacheza rafu wa ukweli, ukimchekea tu umekwenda na maji.
kuna mtu/ watu nuksi akikusalimia tu, utakuja kujiuliza hivi ilikuwaje nikamkubali? hapo ni mazungumzo baada ya habari
 
ahahahaaaaa...dogo wee mngese kichizi...story yoooooote kumbe unataka kujua kama kiji-boo chako ndio kivutio cha mashemeji zako...jibu ni NDIOOOO....maana shemeji zako wanaonesha kila dalili ya kuwa na mabwana au waume ambao mitalimbo yao IMELALA DOROOOO...soo hicho cha kwako ni better off than those big toy gunz of their mens...ahahaha dogo kama nakuona ulivyofirahiii.....ndo manake...kisu bonge la silaha vitani ikiwa mi-nuclear na makombora yote ni mabovu na useless.

Ooopsss...!
 
Huyu raia safi nafikiri ni miongoni mwa wale wacheza rafu wa ukweli, ukimchekea tu umekwenda na maji.
kuna mtu/ watu nuksi akikusalimia tu, utakuja kujiuliza hivi ilikuwaje nikamkubali? hapo ni mazungumzo baada ya habari

Asa km kaamua kubadilika ndio awe uso wa mbuzi na kuepuka mazoea yasiyokua na maana aweke mipaka na jinsia ya kike wala hao shemeji wasingepata huo ujasiri hasa hasa wangemwogopa au kumchukia kbs!
 
Unajua wanawake wengi huhadithiwa tu kwamba kuna vijiboro viduchu less than 4" lakini hawajawahi kuviona. Wanataka wakishuhudie kwa macho kidole/kiji-uboo huku Mbozi tunaita "ka-uhala"
 
Hao shemeji zako wapya wamejuaje juu ya kibamia?Sidhani kama huyo gf wako atakuwa amewaambia, kama amewaambia basi hafai kuwa mke maana atakuwa anatoa mambo ya ndani kabisa kwa watu wa nje. Ila mimi siamini kuwa kuwa amewaambia.

Sababu inayoweza kuwa inachangia kutakwa ni wewe kuwa mchangamfu, na mwenye ile tunaita sense of humor, unajua kuongea nao na kuwaliwaza. Kuna kitu kinawavutia zaidi katika personality yako. Sababu ya kuwa inatokea kwa mashemeji zako na wala si wasichana wengine ni kwa sababu hao ndo inakuwa umewaonesha ukaribu.

Ushauri ni kujaribu kuweka mipaka katika mahusiano yako na wao.

I challenge you, jaribu kuwa mchangamfu hivyo kwa wasichana kama watatu tofauti, wapya,ambao hawajui lolote kuhusu wewe, halafu uone kama wataonesha interest au vipi? Ila kama unaona challenge hii ni hatari usiifanye.

Naupokea kwa dhati ushauri wako kuhusu uchangamfu,hilo linaweza kua tatizo linalochangia kuzoeleka mno.Personality naona si tatizo! Ahsante sana
 
usogope! kuwa na kibamia au mtalimbo si hoja. kikubwa ni ufundi wa kukitumia.kupanda ndege au basi vyote sawa, muhimu ni kufika.
 
Naupokea kwa dhati ushauri wako kuhusu uchangamfu,hilo linaweza kua tatizo linalochangia kuzoeleka mno.Personality naona si tatizo! Ahsante sana

Yule mke wa boss wako(mdosi) bado unaendelea naye?
 
dah basi we mkali!!!!!!!!
umeanza na mke wa bosi kuwa wewe ndio operations manager ila umeongezewa na vyeo vingine ( delivery boy )mara escort ya madam wa kidosi na hadi kum-do na mdosi kukuomba ulale kwake in his absence umlindie wife na sasa unakuja na hii kuwa wadada wangombea kibamia chako!
sasa tukushauri lipi mkuu la kibamia au kutoka na mke wa bosi?
 
Acha uhuni usio na msingi dogo.Fanya mambo ya maendeleo.Shiiiiiiiiiiiiiiit!
 
kwa mujibu wa imani ya dini yangu tukufu tunaamini kwamba cku zote malaya anaoa malaya mwenzie.na kwa dunia ya leo inavyokwenda inaprove hili.so we jamaa ni malaya sahau kuhusu hilo dude lako hata hao mademu unaokutana nao ni malaya tena inawezekana zaid yako.so take care.ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga.
 
kijana,kwa vile kijibamia chako ni kidunchu lakini kinakamua wadada unaotembea nao huwa-hadithia wenzao so wanataka ku-prove tu!kuna jamaa alikuwa anavaa shanga wadada wakawa wanamiminika kutaka kujua ni kweli,na jamaa kuna siku alikuwa havai,basi ubishi mtaani ulivyoongezeka ndio mademu wakawa wanamiminika zaidi!ni kweli kiungo chako ni kivutio

Duuh Mc! Umemalisa kabisa!
 
Back
Top Bottom