ila ukweli kuna mahali panatakiwa paangaliwe serious hasa kwenye samaki wa ziwa kubwa....Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine Ndugulile.
Swali Je Mawaziri Mizigo wameshakwisha Serikalini? na sasa tunakwenda vizuri?
Hakuna cha utendaji mbovu wala nini hapo.Abdalah Ulega aliitafuta hio nafasi kwa udi na uvumba pia team msoga imembeba Ulega,Ndaki katafutiwa sababu tu yakuondolewa hakua tatizo loloteMashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine Ndugulile.
Swali: Je, Mawaziri Mizigo wameshakwisha Serikalini? na sasa tunakwenda vizuri?
Huyo kinana nae ni Mzigo tuMawaziri Mizigo nimekumbuka KINANA
Ukiacha Mama Gwajima, the rest ni mawaziri mizigo, garbage in garbage out.Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine Ndugulile.
Swali: Je, Mawaziri Mizigo wameshakwisha Serikalini? na sasa tunakwenda vizuri?
BASHITE ndio amepewa rungu, yali ya kipindi kile yanajirudia .Waziri wa Ulinzi pia ni Mzigo tu anakaaje kimya wakati Wanajeshi wanapiga Raia tunataka Mawaziri wenye kuwajibika.